Hakuna huduma ya afya bure Tanzania

Hakuna huduma ya afya bure Tanzania

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
33
Kumekua na upotoshwaji kutoka kwa wanasiasa ya kwamba huduma ya afya ya wajawazigo ni bure hapa inchini.

Jambo hilo ni uongo mkubwa na uchonganishi kati ya wanainchi na wahudumu wa afya hapa inchini, hili tukio lililotokea hivi karibuni sio kwa hilo tu ndio la kwanza matukio hayo yapo kila mahali fanyeni uchunguzi vituo vyote vya afya mijini na vijijini, hospital kubwa na ndogo
 
Back
Top Bottom