hayo ni mawazo yale yale ya kimagharibiPressure inatengenezwa jikoni kwako pia inatibika jikoni kwako (kupitia aina ya vyakula unavyokula)
mtu una pressure unakula ngano nafaka, unakunywa chai yenye sukari, unakunywa soda hiyo pressure utakufa nayo tu ila ukizingatia vyakula unavyokula pressure utaisikia tu kwenye magazeti na radio.
Sio lazima kiwe sahihi kwako lakini kinaweza kua sahihi kwa mwingine ninao ushuhuda wa watu waliopona bila kutumia dawa yoyote ile walipata tiba jikoni mwao tuhayo ni mawazo yale yale ya kimagharibi
Hapo unatumia sababu moja kati ya 7 kutoa suluhisho kitu ambacho sio sahihi
Fanya test mkuu ajizuie kula vyakula vya sukari na wanga hata ndani ya mwezi mmoja Kama hataona mabadiliko aendelee na utaratibu wake wa kula kama kawaidaKuna rafiki yangu anaumri wa zaidi kidogo ya mika 30 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pressure ya kupanda kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Amepata matibabu ya kila aina mahospitalini ambapo yote yamekuwa ni kupunguza tu kwa muda. Amejaribu pia miti shamba kidogo ila hajapata mtaalam sahihi wa kutibu na sio kupunguza
Hivi hapa Tanzania hakuna wataalamu wa miti shamba wanaweza kutibu pressure ikapona kabisa?
Najua wengi wanaweza kupunguza makali ila hapa naongelea kutibu ipone kabisa
Asante kiongozi; ila amekuwa kwa strict diet for more than 3months imemsaidia kiasi ila bado anatumia dawaFanya test mkuu ajizuie kula vyakula vya sukari na wanga hata ndani ya mwezi mmoja Kama hataona mabadiliko aendelee na utaratibu wake wa kula kama kawaida
unamaanisha huna hakika kama mkeo alikuwa na ugonjwa wa Presha au kama alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa mwingine?Yote tunaweza kushauri lakini kila tatizo lina undani wake kunawakati mama watoto aliugua hospitali wakasema tatizo ni huo ugonjwa akipewa dawa hali inazidi nikaenda lugalo wakasema hivohivo nikaona nijaribu miti akapona kikubwa nashukuru alipona ila sijui kama nitatizo hilo la presha au la
Nakuomba uni PM tusaidiane mkuuKuna rafiki yangu anaumri wa zaidi kidogo ya mika 30 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pressure ya kupanda kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Amepata matibabu ya kila aina mahospitalini ambapo yote yamekuwa ni kupunguza tu kwa muda. Amejaribu pia miti shamba kidogo ila hajapata mtaalam sahihi wa kutibu na sio kupunguza
Hivi hapa Tanzania hakuna wataalamu wa miti shamba wanaweza kutibu pressure ikapona kabisa?
Najua wengi wanaweza kupunguza makali ila hapa naongelea kutibu ipone kabisa
Hakuwa mjamzito hospitali walisema ana presh lakini kwenye mitishamba wakasema sio presh ndomana nikasema sijui msingi watatizo kikubwa nashukuru alipona kwahiyo hapo nikisema amepona presha kwamitishamba nawezanikawa muongo maana sikurudi hospitali kupima tenaunamaanisha huna hakika kama mkeo alikuwa na ugonjwa wa Presha au kama alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa mwingine?
Alikuwa mjamzito?
Kama alishaanza doze ya pressure itakuaje? Mtoa mada kauliza kama kuna tiba mbadala kwa tatizo lile. Suala la jikoni ni maboresho tu.Pressure inatengenezwa jikoni kwako pia inatibika jikoni kwako (kupitia aina ya vyakula unavyokula)
mtu una pressure unakula ngano nafaka, unakunywa chai yenye sukari, unakunywa soda hiyo pressure utakufa nayo tu ila ukizingatia vyakula unavyokula pressure utaisikia tu kwenye magazeti na radio.