wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Kuna kastori kamoja ka ukweli kwamba Kijana mmoja alienda posa binti mrembo huko kijijini kwetu, baada ya miaka kadhaa ha kuwa na watoto kijana akapata BLANKETI jipya matokeo yake akawa anamnyanyasa sana binti mrembo wake mpaka ikafika wakati akamtambia kuwa hawezi kuondoka na wala kumfanya chochote.! Binti mrembo alipoona maish ya mateso na manyanyaso yametosha, pamoja na wazee, wazazi kumuomba awe mvumilivu, eti nasikia ndoa ni uvumilivu upande mmoja tu wa mabinti lakini si kwa vijana, binti akawasikiliz lakini siku moja aliamua kuchanganya na zake! Akabeba kilicho chake pamoja na vitoto vyake akasepa kwenda kutacuta maisha sehemu nyingine mbali na kijijini kwetu, kijana aliporudi akijua ile ngom yake ya kupiga ipo alipotinga ndani akakuta kutupu wa kumuuliza hana na majirani wakamwambia binti katimua kwenda kutafuta maisha..na baada ya miaka kadhaa wakakutana binti akiwa na maisha mazuri na watoto wake wakiwa na afya njema! Hivyo ni sawa na CCM mkijidhani hamuwezi kuachika eti mmekaa madarakani muda mrefu, hiyo ni ndoto na hakuna mtanzania ambaye hajaichoka CCM hivyo subirini yuchanganye na zetu halafu muone hali itakavyokuwa.Tupeni haki zetu tu za kujiandikisha na kumpigia kura tumtakaye ndipo mtajuta kwanini mlitifahamu.Vilivyopo havijaiva na havijakomaa. Bado vichanga. Vinafanya siasa maji taka. Ubabe na kusubiri matukio. Huu ni mwaka muhimu wa uchaguzi wa kubadilisha dola kwa maana kwamba serikali iliyopo imefika muda wake kidemokrasia...hata hivyo wananchi bado wana imani kubwa na chama kilichounda dola iliyopo na wanaahidi kukipa ushindi mnono hapo octoba 2015.
Navishauri vyama vilovyopo vijipange vizuri ili 2025 angalau vipate wabunge wa kutosha ili 2050 vishike dola (God forbid).

Wapinzani wataingia magogoni mwaka 9045.
hakuna upinzani tzccm hawana hati miliki ya tanzania kutawala milele.ccm kutarajia raisi ajaye atatoka ccm ni sawa na kumpa mgonjwa uji wenye sumu ulitegemea atapona kumbe ndo anakufa ccm imeshakufa yenyewe
Vilivyopo havijaiva na havijakomaa. Bado vichanga. Vinafanya siasa maji taka. Ubabe na kusubiri matukio. Huu ni mwaka muhimu wa uchaguzi wa kubadilisha dola kwa maana kwamba serikali iliyopo imefika muda wake kidemokrasia...hata hivyo wananchi bado wana imani kubwa na chama kilichounda dola iliyopo na wanaahidi kukipa ushindi mnono hapo octoba 2015.
Navishauri vyama vilovyopo vijipange vizuri ili 2025 angalau vipate wabunge wa kutosha ili 2050 vishike dola (God forbid).
na hii ndio tathmini kutoka kwa mbungenjaa
hakuna upinzani tz