What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?
Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya
Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo
Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii
Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo
Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?
This type of thinking is dangerious
Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?
Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani
Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!
Huenda ukawa na matatizo usiyoyajuaYes U Did Kwa Kusema Hao Walokole Ni Geresha Tuu
Your opinion come from wrong type of thinking which led you to a wrong conclutionIn my Opinion that's Judging
"Huo" upi?Huo Ndo Udhaifu Wenyewe.
Inaonekana hata hujaelewa ni kanuni gani ninazozizungumzia hapoKama binadamu wote wa hii dunia wangefata kanuni basi,dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi
Sio Allien but thy shld live an Exemplary life,
Coz Mimi Kama Muumini I don't Expect Padri Awe Hivyo!!!
Nimeamua Kutumia Huo Mfano Wa Mapadri coz hata Wao ni Dhaifu na Hujikuta wameanguka dhambini
Wewe kusema huyo dada wa kilikole ni geresha ndo umechukulia kama yy ni extra-Ordinary Na Hawezi Anguka kwenye Uzinzi
"Huo" upi?
Inaonekana hata hujaelewa ni kanuni gani ninazozizungumzia hapo
Hebu rudia huenda ukaelewa ninachozungumza hapa!
Hapa kuna mabo mawili
1:Huna kabisa uwezo wa kusoma na ukaelewa
2:Husomi ninachokuandikia
Mapadri kuwa binadamu hiyo maana yake na wao wanapitia kanuni zote za maumbile kama binadamu mwingine yoyote yule hivyo wao sio wa kutolewa mfano ndio maana nikakupa mfano wa Alien
Kama wewe ni muumini na unatarajia binadamu mwingine ambae tu anaitwa padri awe mkamilifu kuliko wengine utakuwa na matatizo makubwa sana ya kufikiri
Unaendelea kurudia makosa yale yale ya mwanzo
Sijasema huyo dada wa kilokole ni geresha,nimesema huyo dada wa ulokole wake ni geresha
Au hujui kuwa hizo sentensi mbili zinaelezea mambo mawili tofauti?
Pia sijasema kuwa yeye ni mkamilifu ila yeye kuwa mlokole kunamaanisha amepitia kwenye utambuzi na yuko connected na nguvu kubwa sana kuliko binadamu ambayo inaweza kumsaidia pale atakapohitaji msaada wa hiyo nguvu kwenye mambo ambayo yanamzidi nguvu yeye kama binadamu
Pia pamoja na hilo sio kwamba hawezi kuanguka dhambini ila huko kuanguka sio kwa hovyo kama alivyofanya huyu
Ndio maana nikakuambia kuwa huo ulokole wake ni gheresha tu!
Uwezo Wangu Wa Kuelewa Mambo ni Mdogo Ndo Maana Sitaki Unilazimishe Nifate Unachokisimamia
Eiyer Don Complicate things,
Kama unataka kunichallenge,Mie Najua ni Mgumu Kuelewa,
Tuishie Hapa!!!
.,, jamani msinijudge vibaya,,, niacheni nimalize.
Basi nilipomsimamisha huku majasho yakinitoka,, nikanyanyua tisheti yangu nijifute usoni kwani sikua na kitambaa cha jasho...,, huku nikihema tumbo langia ndani,larudi, kumbe nikamloga binti yule kwa kufanya vile.?
Sikupoteza muda ,,kwani mwenzake alikua ametembea kitambo kidogo, nikampa simu aandike namba yake.
Guyz sikuamini. Aliandika namba yake....nikasema tu,, AHSANTE.
Nikajipanga tena.,, nikasema hapa inanibidi nitongoze kikubwa,, nikawa real,, nikawa open,,nikamwomba K.,,PAPUCHI,,kwa akili kubwa.
Sikuamini.. Kumbe hawa mabinti wafia dini uwa wanakua na njaa kali ya mapenzi..,,
nitarudi kumalizia, nanywa chai.
Duuuuh! maagent kama hawa wako wengi sana Tabora, hawashindwi kwenda hadi kwa waganga wa kienyeji kuloga, wakifanikaiwa wanaanza kujisifu,,,Umenena vema mkuu. Huyo ni agent wa Lucifer yuko kazini.:juggle:
taratibu mkubwa,, there is lesson inside..