kweli wewe walinazi bila shaka wasubiri kupakuliwa...
Unajisifu kwa kufanya dhambi na kumsababishia mwingine kufanya dhambi!!!
Kibaraka wa shetani wewe majinuni mkubwa...

Kuna mtu aliumizwa hisia hapo?
Unategemea mwisho wake ni nini? Mtu analala na wewe kwa sifa?
Kwa Hiyo Umeona Ufahari Kumfanya Mwenzio Aanguke Dhambini??
Mungu Akurehemu Kwa Kuwa Hujui Ulitendalo
Sio kweli
Hakuna aliyemfanya mwingine aanguke dhambini
Huyo mwanamke alikuwa anasubiria siku kama hiyo
Huo ulokole wake ulikuwa ni geresha tu!
Eiyer Don Judge Coz No One Is Perfect,Sio kweli
Hakuna aliyemfanya mwingine aanguke dhambini
Huyo mwanamke alikuwa anasubiria siku kama hiyo
Huo ulokole wake ulikuwa ni geresha tu!
taratibu mkubwa,, there is lesson inside..
Mhhhhhh baba paroko
What do you mean by saying "don't judge"?Eiyer Don Judge Coz No One Is Perfect,
Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbayaBila Huyo Kaka Kumfata Huyo Dada Angekubali Vipi?
Kila binadamu ana udhaifu wakeWengine Tumejawa Udhaifu.
Who is mapadri dada?Mapadri Wanaanguka Dhambini Sembuse Huyo Dada?
Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?Nao Upadri Wao Ni Geresha Sio??
What do you mean by saying "don't judge"?
Did i judge anyone?
Kuna swali la msingi hapa unaliruka either maksudi au bahati mbaya
Kwanini hujiulizi "Kama angekataa"?
Kufuatwa na mtu kukutaka kimapenzi sio ndio ukubali tu
Kila aliyekutongoza wewe tian umemkubalia?
Kama hapana,kwanini?
Acha kutetea mambo ya hovyo
Kila binadamu ana udhaifu wake
Lakini huo udhaifu sio tiketi ya kufanya mambo ya hovyo namna hii
Huenda hujasoma kisa cha huyo jamaa alivyomvua chup.i huyo dada mjing.a
Hebu soma halafu uje uniambie kama huyo dada alitumia hata nywele kufikiri achilia mbali ubongo
Who is mapadri dada?
Mapadri ni Allien au kitu gani hadi uwatolee mfano?
Hujui nao ni binadamu kama wengine?
This type of thinking is dangerious
Kwanini usiwe gheresha kama ni wa hovyo?
Ukishaitwa binadamu ni lazima ufuate kanuni
Hakuna binadamu aliye juu ya kanuni hata apewe jina gani na zuri kiasi gani
Kama hata hili hujui basi una khatari kubwa!