Hakuna atakayeishi milele

JS Dairy Farm

JF-Expert Member
Feb 13, 2022
300
641
Tuache kuumizana ,kuuana kutekana kwa sababu tu ya vyeo vya Duniani au utajiri mdogo tulio nao.Tukumbuke kuna anayetupa pumzi anatusubiri.

Emilio Mwai Kibaki alipokuwa anamuaga Daniel Toroitich Arap Moi na Emilio Mwai Kibaki akiwa amelala katika wafu.

Wakati wa urais wa Moi ,redio ya Kenya KBC walikuwa wananza kutaja jina lake kwa kusema:Mtukufu Rais Daniel Toroitich Arap Moi...
Screenshot_20220428-135925_1.jpg
Screenshot_20220428-135925_1.jpg
 
Kufa kupo,ila kifo kikikukuta ukiwa umeendesha V8,vogue,Benz,umekula bata,umetoa sadaka,kanisani,misikitini,umesomesha watoto mpaka havard,unakuwa na nafuu,kuliko tangu umezaliwa baba yako kala bamia na sukuma wiki,wewe umeoa,wewe na watoto wako mnakula sukuma wiki tu,
Tafuteni pesa acheni kuwaza kifo,kifo kipo tu.
 
Back
Top Bottom