Hakuna aliye juu ya UKAWA sasa

Lipo kundi ambalo linahitaji kubembelezwa ndani ya chama lakini sio slaa
Slaa yuko juu kichama anapaswa kufamu kuwa lowasa ni fursa mpya kwa cdm hapaswi kukatishwa tamaa ña kuitwa fisadi na mtu mkubwa kama Slaa. Slaa anapaswa kuandaa mazingira ya kuwakaribisha wageni wapya ndani ya chama na sio yeye awe wa kwanza kuanza kuwatisha na kuwakejeli. Kufanya hivyo ni kupoteza malengo ya chama ya kukamata dola. 😛ray2:
 
kavulata

Dr.Slaa alivunjika mkono na hadi sasa ana ulemavu wa kudumu kwa sababu ya kuitetea chadema. yeye mwenyewe alipigwa na kuharibiwa mimba mwaka 2011 kwa sababu ya chadema halafu leo wanapuuzwa kama vile si chochote ndani ya chama.

Duuuu...eti mimba???
 
Kaka hakuna mtu mwenye mamlaka ya kisheria ya kumuita mtu mwizi, ni mahakamaa pekee yenye uwezo wa kumtangaza mtu kuwa ni mwizi. Wewe ni nani kumwamuru mtu aende akajieleze hadharani kuhusu wizi anaotuhumiwa au mali zake anazozimiliki, huko ni kujichukulia sheria mkononi ambako sio kuzuri kwa chama kinachotaka kuomba kushika dola. tuhuma zote zielekezwe mahakamani ili zikathibitishwe na sio sisi raia kutoa hukumu zetu kwa raia wenzetu kiholela. Slaa anatamani kuiaminisha dunia yote kuwa Lowassa ni fisadi kwa kutumia majukwaa ya kisiasa tu bila kutamani kumpeleka mahakamani, huu ni udhaifu mkubwa wa Dr. Slaa ambao chama hakipaswi kufanya maamuzi magumu kwa kutumia njia dhaifu kama hizi. Inawezekana kweli Lowassa ni fisadi lakini kwa ushahidi upi wa kimahakama maana nchi hii inafuata utawala wa sheria. Ndo maana ninasema shida hapa sio Lowassa bali urais, kama ni ufisadi uko CCM na sio kwa mtu mmojammoja. Nimuombe Dr. Slaa arudi kukisaidia chama chake ili kukiondoa kichaka cha ufisadi Tanzania.
 
Hapo kwenye Red nakukatalia, nchi hii haifuati utawala wa sheria hata kidogo.....ni ujanja, mabavu na uoga wa wananchi wake. Unaweza usinielewe ila iko hivyo. Pia nipende tu tena kurudia, KAMWE UKAWA haitaingia kushika dola kama hakutakuwa na maridhiano na take it from me...huu mwaka utakuwa mwaka wa historia kwa watanzania, kuchukua zaidi ya miaka 20 ya kujenga upinzani ulio imara na kuubomoa kwa siku chache sana!!!! UKAWA isipoingia madarakani mwaka huu asiwepo mtu wa kulaumiwa zaidi ya Freeman Alikaeli Mbowe! Nimebahatika kuwa nae kwenye vikao vya ndani nikiwa Mwanza hoteli ya Gold Crest, maneno alokuwa akiyasema yananifanya nitafakari sana sana juu ya credibility na integrity yake, SURE, watu msipende kumtupia zigo Dr. Slaa, zigo arushiwe mwenyekiti wa CDM! Narudia tena, kilichofanyika ni uhuni na msilaumu mtu asiepaswa kulaumiwa. Huwezi kujenga chama huku ukisababisha ufa ndani ya uongozi wa juu!!!NEVER!!!! Mbowe awajibike kukinusuru chama, ther is no way out...aongee na Dr. Slaa, kama chama ni cha wanachama na afanye hivyo ila kama ni chama cha familia basi ni ruksa hata kumuuzia EL kama alivyofanya Jenerali Ulimwengu na magazeti yake!!!!

Ipo siku mtaujua ukweli...Pole sana Dr Slaa, mzee ninaekuheshimu sana......please narudia tena wasamehe saba mara sabini.
 

Ulitaka nani agombee urais ili chadema ishinde?
 

Yes tumekuja kuwaokoa kondoo waliopotea na kuwarudisha zizini
 

Yes tumekuja kuwaokoa kondoo waliopotea na kuwarudisha zizini
 
slaa kamtumia lipumba madocument wanavyopiga pesa za ric- moooooooooooond

lazima baada ya uchaguzi kushindwa fisadi;

list ya mgawo wa el - itawekwa hadharali MWEMBEYANGA;

na document ; msg na taarifa za benk zipo

dr anazo


ndo mwanzo wa kungolewa mbowe na vibaraka na demokrasia kuzaliwa upya; el kufurushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…