Pole nyingi sana kwa Jamaa,nikushukuru tu maana kuna wengine saa izi wapo kwenye barafu pumzi yao imeshaondolewa wapo tayari kwenye hatma yao ana heri yeye bado angalao anapumua.
Hapa jukwaani kwa haraka haraka leo tunao Gamba Isaac,yule diwani wa Magomeni zamani Julian Bujugo huko mwanza kuna dogo wa kidato naye amegoma kuishi alimradi kila mtu ana kipimo chake alichopangiwa,
Muhimu kuzingatia hiyo paragraph ya mwisho kma ulivyosisitiza.