Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 671
- 348
Usajili wa simucard upo sahihiJombaa unachanganya usajili wa sim card na handset rudia kuandika tena
Kikubwa majina yaliyopo yafanane na vitambulisho vyako, vendors ama freelencers wakati fulani walikuwa wanasajiri mtu hata kwa taarifa zisizo zake ndiyo sababu ya kuhakiki kwanza ndipo uende ikiwa kuna kasoroSim card tumeshazisajili mda mrefu sana. Ila wazo la kusajili simu kama tunavyosajili magari nalo ni wazo zuri sana!, EMEI ndio namba za usajili wa simu.
Lazima kuna tatizo manake mfumo wa usajili wa voda ni kweli unamtambua mtu kwenye uso wake!!nina siku ya pili voda wanashindwa kukamilisha usajiri kisa eti macho hayaendani na kitambulisho mara wakala mwingine anasema kitambulisho hakisomi basi full vurugu nimesusa kwa muda
Hapo kumiliki simcard itakuwa ngumu kwa sasa fanya nchakato bwanawewe!!!Sina kitambulisho hata kimoja
ni kweli ngoja nianze kutafuta kitambulisho kingineLazima kuna tatizo manake mfumo wa usajili wa voda ni kweli unamtambua mtu kwenye uso wake!!
mi niliangaika sana na kitambulisho changu cha kupiga kura kusajili voda ikazingua mpaka nikamwomba mtu anisajilie kwa kitambulisho chake ndo naitumia kama yangu!nina siku ya pili voda wanashindwa kukamilisha usajiri kisa eti macho hayaendani na kitambulisho mara wakala mwingine anasema kitambulisho hakisomi basi full vurugu nimesusa kwa muda
do! kazi kwelikweli nafikiri tume ya mawasiliano inapaswa kulitazama upya swala hili hata kwa mwenye jicho moja limekuwa tatizomi niliangaika sana na kitambulisho changu cha kupiga kura kusajili voda ikazingua mpaka nikamwomba mtu anisajilie kwa kitambulisho chake ndo naitumia kama yangu!
ni kweli na shida kubwa ipo kwenye line ya voda kuliko line za mitandao mingnedo! kazi kwelikweli nafikiri tume ya mawasiliano inapaswa kulitazama upya swala hili hata kwa mwenye jicho moja limekuwa tatizo