Mkuu heshima yako na asante kwa mwaliko. Naomba nikusahihishe tu ni kuwlimishana tu. Wengi tunakosea sana kwenye hili neno dhehebu. Kwenye kiswahili hamna kitu kama dhehebu. Kuna neno madhehebu iwe hata moja. Madhehebu ya kisabato madhehebu ya Shia madhehebu ya kilutheri siyo dhehebu la kisabato ni madhehebu ya kisabato.
Ucjali mkuu pia mm nilikuwa hivoq hivo. Badala ya saa mamluki wengi wa lugha ye2 adhim wanaita lisaa