Unaweza kumwona mtu ana mwili flani tipwa tipwa ukamchukulia poa na kumwona mzembe flani hivi kumbe ukijichanganya unaweza kukalishwa vibaya mnoo.
Kweli sio kila kibonge ni mzembe, mana jamaa anavyojirusha huwezi amini kama ni yeye
Najua kuna vibonge wa Jf wenye vitambi vyao watakuja kutamba hapa wakati....
sammo hungSam hong copy
Nimekuhamu zaidi ya mapupuVibonge wepesi tupogo mkuu
Inawezekana kweri muraaa.Duh! Labda ni ri jeshi listaafu..!😀
Me mnooo mzee wa banNimekuhamu zaidi ya mapupu
Ban naona inataka kunizoea.Me mnooo mzee wa ban
Ikuzoee mara ngapi sasa haipiti week umepata me mzima hofu kwakoBan naona inataka kunizoea.
Habari za masiku lukuki Shunie!?
Hapana.Ikuzoee mara ngapi sasa haipiti week umepata me mzima hofu kwako