Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,658
- 20,991
Wa kwanza kuitafuna ni yeye.Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Mnaendelea tu kujimwambafai kiwendawazimu!!Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Wapaka m.avi huwa hawakosekani.Wa kwanza kuitafuna ni yeye.
1. Alihonga michepuko nyumba za umma(serikali)
2. Alinunua kivuko fake(MV Bagamoyo)
3. Alituingiza chaka Samaki wa Magufuli(tukalipa fidia kubwa)
4. .........
Jaza na wewe basi namba 4, tusichoshane bure
Matokeo yake ni tonge moja la ugali, dagaa wawili, na mchuzi mwingiIzo ndege 11 zimeongeza patoa la taifa kwa asilimia ngapi na deni la taifa limeongezeka kwa asilimia ngapi?
Ukiwa na mzazi anamatumizi makubwa kuliko kipato chake mwisho wa siku unajua ni nini hutokea????????
Mbona hilo ni jambo dogo sana linahitaji tu kua na roho ya kikatili ni suala la kuhamisha budget ya afya ya elimu ajira na nyongeza za watumishi na kuiweka kwenye manunuzi ya ndege na flyover.....huku akaacha raia wanakufa kwa kukosa Dawa muhimu hospitalini nk.Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
He is a human being ni kwelo yapo yakurekebisha, hasa Gharama za mahospitalini zimekuwa ghali mno,no bora kila mzazi akachangia 10,000/- kwa mwaka kwa mtoto wa shule kwa lazima,ili kufanya utibabu urudi kama enzi za MWL J.L.NYERERE..Mbona hilo ni jambo dogo sana linahitaji tu kua na roho ya kikatili ni suala la kuhamisha budget ya afya ya elimu ajira na nyongeza za watumishi na kuiweka kwenye manunuzi ya ndege na flyover.....huku akaacha raia wanakufa kwa kukosa Dawa muhimu hospitalini nk.
#Note and just change behaviour...Awamu hii mtanyooka" japo mti wa matunda upigwa mawe
Sasa kwako kununua ndege 10 zinazo tumika na 2% ya Watanzania na kuboresha afya na elimu inayo tumika kwa 100% ya Watanzania kipi ni logical and rational kufanywa na pesa ya umma?He is a human being ni kwelo yapo yakurekebisha, hasa Gharama za mahospitalini zimekuwa ghali mno,no bora kila mzazi akachangia 10,000/- kwa mwaka kwa mtoto wa shule kwa lazima,ili kufanya utibabu urudi kama enzi za MWL J.L.NYERERE..
Binafsi kwa ukweli wa moyoni gharama za mahospitali ni hatari sana.hapa ndhani nipo mahesabu yanagomba.
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.
:::::::
Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.
::::::::
BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.
:::::::::
#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
MmmmhhhBila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.