Hakika Rais magufuli ni chuma cha pua; Amewezaje kununua ndege 11 ingali hapo nyuma kununua ndege moja tuliambiwa tufunge mikanda?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,424
20,463
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
 
Wa kwanza kuitafuna ni yeye.
1. Alihonga michepuko nyumba za umma(serikali)
2. Alinunua kivuko fake(MV Bagamoyo)
3. Alituingiza chaka Samaki wa Magufuli(tukalipa fidia kubwa)
4. .........

Jaza na wewe basi namba 4, tusichoshane bure
 
Mnaendelea tu kujimwambafai kiwendawazimu!!
 
Izo ndege 11 zimeongeza patoa la taifa kwa asilimia ngapi na deni la taifa limeongezeka kwa asilimia ngapi?

Ukiwa na mzazi anamatumizi makubwa kuliko kipato chake mwisho wa siku unajua ni nini hutokea????????
 
Wa kwanza kuitafuna ni yeye.
1. Alihonga michepuko nyumba za umma(serikali)
2. Alinunua kivuko fake(MV Bagamoyo)
3. Alituingiza chaka Samaki wa Magufuli(tukalipa fidia kubwa)
4. .........

Jaza na wewe basi namba 4, tusichoshane bure
Wapaka m.avi huwa hawakosekani.
kwenye kila sherehe wamo
 
Izo ndege 11 zimeongeza patoa la taifa kwa asilimia ngapi na deni la taifa limeongezeka kwa asilimia ngapi?

Ukiwa na mzazi anamatumizi makubwa kuliko kipato chake mwisho wa siku unajua ni nini hutokea????????
Matokeo yake ni tonge moja la ugali, dagaa wawili, na mchuzi mwingi
 
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Mbona hilo ni jambo dogo sana linahitaji tu kua na roho ya kikatili ni suala la kuhamisha budget ya afya ya elimu ajira na nyongeza za watumishi na kuiweka kwenye manunuzi ya ndege na flyover.....huku akaacha raia wanakufa kwa kukosa Dawa muhimu hospitalini nk.
 
He is a human being ni kwelo yapo yakurekebisha, hasa Gharama za mahospitalini zimekuwa ghali mno,no bora kila mzazi akachangia 10,000/- kwa mwaka kwa mtoto wa shule kwa lazima,ili kufanya utibabu urudi kama enzi za MWL J.L.NYERERE..
Binafsi kwa ukweli wa moyoni gharama za mahospitali ni hatari sana.hapa ndhani nipo mahesabu yanagomba.
 
Hizi barabara zilizounganisha nchi nzima toka mtwara mpaka bukoba , madaraja , umeme , maji ajira kila mwaka wanafunzi wanaajiriwa, mishahara ya wafanyakazi inaboreshwa kila mwaka ulikuwa unafanya wewe ? Msiwe mapunguwani mjifunze kupitia historia.pumbavuuu!
 
He is a human being ni kwelo yapo yakurekebisha, hasa Gharama za mahospitalini zimekuwa ghali mno,no bora kila mzazi akachangia 10,000/- kwa mwaka kwa mtoto wa shule kwa lazima,ili kufanya utibabu urudi kama enzi za MWL J.L.NYERERE..
Binafsi kwa ukweli wa moyoni gharama za mahospitali ni hatari sana.hapa ndhani nipo mahesabu yanagomba.
Sasa kwako kununua ndege 10 zinazo tumika na 2% ya Watanzania na kuboresha afya na elimu inayo tumika kwa 100% ya Watanzania kipi ni logical and rational kufanywa na pesa ya umma?
 
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.

!
!
as if katika ziara kuna mtu alitaja chochote kuhusu ndege hizo! bora bao lako lingepigiwa puli tu au wangetumia kondomu. Useless
 
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
Mmmmhhh
Kalale kwenye hizo ndege
Umewahi kupanda ndege kwani????
Mie mkulima huwa naziona angani tu sasa sijui zitanisaidia nini kuleta wataliii au
 
Kwani hizo ndege kanunua kwa hela yake mfukoni au kodi za wanamchi.
Bure kabisa wewe kuliko nikupe like yangu ni bora nikapige nyeto
Bila unafiki wowote rais tumepata na tumtumie vyema watanzania,hebu tuwe wakweli kutoka mioyoni mwetu.

:::::::

Hakika nchi ilitafunwa vibaya sana,it was a shame on them.

::::::::

BY ANY MEANS FRAUDLIERS WERE AT REGRECY, MYSERY AND SAFFOCATIONS.

:::::::::

#PIGA_KAZI_CHUMA_CHA_PUA.
#GOD BLESS YOU.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom