Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,794
- 165,533
Laana ya dhuluma ni hatari mno !Mkuu salary dhuluma huwa haidumu,serikali inayumba na hiyo yote ni dhuluma.utawala ulio fitinika
Mlizoea vya bwerere siyo fanyeni kazi hamtaki sasa mtapata habari yenuKauli anazozitoa mh.sana na mengine yanaoendelea katika awamu hii ambayo bila shaka yamemgusa karibu kila mtu kwa namna moja au nyingine,ninahakika wengi leo hii wanatamani wewe ndio ungekuwa Magogoni pengine yote haya yasingetokea.
Nina uhakika kama uliweza onyesha busara na uvumilivu mkubwa wakati wa kampeni,busara na uvumilivu huo ndio ungetumia kutuongoza.
Hivi sasa kila mtu anaipata elimu ya uraia automatically kiasi kwamba mpaka 2020 kila mtu atakuwa amejua thamani ya kura yake.
Bahati haiji mara mbili hata hivyo riziki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.
Hamna cha lowasa wala makufuli wote walewale tu. TZ hamna kiongozi mwenye afadhariKauli anazozitoa mh. sana na mengine yanaoendelea katika awamu hii ambayo bila shaka yamemgusa karibu kila mtu kwa namna moja au nyingine, ninahakika wengi leo hii wanatamani wewe ndio ungekuwa Magogoni pengine yote haya yasingetokea.
Nina uhakika kama uliweza onyesha busara na uvumilivu mkubwa wakati wa kampeni, busara na uvumilivu huo ndio ungetumia kutuongoza.
Hivi sasa kila mtu anaipata elimu ya uraia automatically kiasi kwamba mpaka 2020 kila mtu atakuwa amejua thamani ya kura yake.
Bahati haiji mara mbili hata hivyo riziki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.
Kumpa Lowassa nchi ni kuuza nchi mchana kweupe.
Hamna alichotupa zaidi ya nyinyi kushindwa kumpeleka Mahakama na kuendeleza majungu na propaganda.Mkuu huyu jamaa aliwapa nini chadema mpaka mkamlamba miguu?
Usijali atakuwa rais 2050.kuna siku ataingia hapo magogini tu