huyo niliye mzungushia kiduara/aliye karibu na mwanamasumbwi mayweather simfahamu ni nani,ila nilimuona akiwa karibu naye sana kabla na baada ya pambano lake na man pacquiao.
aliyeshika kipaza sauti bila shaka wengi wetu tunamfahamu,sina haja ya kutaja jina lake.ni kigogo mwenye wadhifa mkubwa katika ikulu ya serikali ya tanzania.
View attachment 249711
Angalizo:wahusika wa "cybercrime act" sina nia mbaya ya kumfanyia "cyberbullying" muheshimiwa,bali ni kwa nia njema tu.kimuonekano hakika wamefanana na huyo mpambe wa mayweather.
mimi mwenyewe naambiwa nafanana na will smith.
Griiiiiiiiiihuyo niliye mzungushia kiduara/aliye karibu na mwanamasumbwi mayweather simfahamu ni nani,ila nilimuona akiwa karibu naye sana kabla na baada ya pambano lake na man pacquiao.