F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Oct 19, 2013 #1 Hiii imekaaje? Attachments 1382120530364.jpg 185.6 KB · Views: 258
VUVUZELA JF-Expert Member Joined Jun 19, 2010 Posts 3,103 Reaction score 800 Oct 19, 2013 #2 Kitoweo hakina haki Chakula hakina haki
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Oct 19, 2013 Thread starter #3 VUVUZELA said: Kitoweo hakina haki Chakula hakina haki Click to expand... Wewe tu mlaji ndo mwenye haki?
VUVUZELA said: Kitoweo hakina haki Chakula hakina haki Click to expand... Wewe tu mlaji ndo mwenye haki?
VUVUZELA JF-Expert Member Joined Jun 19, 2010 Posts 3,103 Reaction score 800 Oct 19, 2013 #4 farkhina said: Wewe tu mlaji ndo mwenye haki? Click to expand... Ndio Mungu ameumba wanyama wawe vitoweo na waliwe. Period! Sasa hizo haki za wanyama wakati binadamu wengine hata haki hawatendewi sijui zatoka wapi
farkhina said: Wewe tu mlaji ndo mwenye haki? Click to expand... Ndio Mungu ameumba wanyama wawe vitoweo na waliwe. Period! Sasa hizo haki za wanyama wakati binadamu wengine hata haki hawatendewi sijui zatoka wapi
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Oct 19, 2013 Thread starter #5 Hahahaha haya.
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Oct 19, 2013 #6 Hii ilivyokaa inaelekea mnadani kwa walaji farkhina said: Hiii imekaaje? Click to expand...
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Oct 19, 2013 #7 mhhh wameeneaje humo?na wanapata ulabu?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Oct 19, 2013 #8 Mmmmh joto hasiraa