Haki za madaktari Tanzania

Haki za madaktari Tanzania

Joined
Mar 29, 2015
Posts
33
Reaction score
5
Kwa wakuu mnaojua miongozo. According to current understanding orders, haki au stahiki za daktari aliyeko kazini ni zipi? Na naweza kuzipata vipi katika maandishi?
 
Rekebisha swali lako, hamna kitu inaitwa understanding orders! STANDING ORDERS
 
Msomi wa pcb na ujuzi wa uandishi wapi na wapi!!!!!!
 
Kama nimekosea unirekebishe kama ulivyofanya....usiniponde kwa just hii minor error,of course I appreciate for your comment.....naomba kama unajua ujibu kwa ufasaha......post niliiandika usiku sana nilipokuwa nimechooooika na kazi za operation za uzazi za usiku kucha....nikabaki nikitafakari sana maisha yangu na huu u-busy usio na tija.....thanks wadau wote for +ve comments
 
Back
Top Bottom