PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,282
- 18,018
Na liwe funzo kwa wanaume wooote, Zama umenikoshaaaaa.
Usituhusishe wanaume wote, wengine atuna tabia ya kulialia kwenye simu
Na liwe funzo kwa wanaume wooote, Zama umenikoshaaaaa.
Usituhusishe wanaume wote, wengine atuna tabia ya kulialia kwenye simu
ILA MI NIMEFURAHI UTAFKIR HUYO ZAMA NAMJUA !
hiii ndo dawa ya wanaume wanaoamini ukishazaa au kuolewa nao hakuna masiha mengine tnea!
Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa Cloud FM anayeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anayesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Je, anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake. Wataalamu wa sheria mtusaidie.
My Take:
Nimeamini mapenzi yana nguvu, kwa jinsi jamaa alivyokuwa analia basi huyo dada anaonekana mtamu sana. Wanaume pia tuwe makini, tuache michepuko hawa wanawake wamekuwa makatili sana nowadays.
SawaTutaonana kwenye uzi wa like
Hadi umejam.baNimecheka hadi nanii
Thanx for the complimentKuendelea kukujibu ni wastage of time sio siri
Ssasa kama ana hela kwa nini ameachwa sasa?....zama amemchoka jamaa na hela zake na uhakika hawezi kumpata tenaRuge akimuhitaji Zamaradi anampata anytime. Sababu ana hela pia wamezaa Watoto.
Siku zote kuoa Single Mother inachangamoto sana hasa Baba wa watoto akiwa hai na hajaoa.
Sijui Huyo Mtoto wa Waziri Mkuu kama hana wivu. Kama anawivu na hasira hiyo ndoa haitodumu.
Itabidi ajifanye mpumbavu ili ndoa idumu.
Inaonekana jamaa alilewa demu akatake advantage na kumrekodi kabisa dah
kuna kaukweli fulani....KULIA KWA ZAMU SIORugeee
Kawaliza wasanii wengi sasa na yeye analizwa na mapenzi