M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,956 Reaction score 3,245 Oct 26, 2020 #21 Chadema wamejipambanua katika Ilani Bora kabisa ya kurejesha haki na tabasamu kwa mtanzania. Haki ya kuongezwa mshahara FAO la kujitoa kurudisha
Chadema wamejipambanua katika Ilani Bora kabisa ya kurejesha haki na tabasamu kwa mtanzania. Haki ya kuongezwa mshahara FAO la kujitoa kurudisha
A Amalrik TZ JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 341 Reaction score 303 Oct 26, 2020 Thread starter #22 MPadmire said: Chadema wamejipambanua katika Ilani Bora kabisa ya kurejesha haki na tabasamu kwa mtanzania. Haki ya kuongezwa mshahara FAO la kujitoa kurudisha Click to expand... Ilani bora ipo Chadema Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
MPadmire said: Chadema wamejipambanua katika Ilani Bora kabisa ya kurejesha haki na tabasamu kwa mtanzania. Haki ya kuongezwa mshahara FAO la kujitoa kurudisha Click to expand... Ilani bora ipo Chadema Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,485 Oct 26, 2020 #24 Chadema inapendwa CCM inaogopwa. Magufuli anataka kura Lissu anaomba kura. Magufuli anafokea wananchi Lissu anelimisha wananchi
Chadema inapendwa CCM inaogopwa. Magufuli anataka kura Lissu anaomba kura. Magufuli anafokea wananchi Lissu anelimisha wananchi
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,464 Oct 26, 2020 #25 Kheri James atishishia kumuua Tundu Lissu kwa kutumia Sindano ya Sumu