Msaada Wa Maelezo ili kuepuka kingi kwa Mara nyingine
Nilipotelewa na pochi HAPA mjini katika mazingira ya kutatanisha kidogo ikwa na pesa kiasi pamoja na kitambulisho changu.ila baada ya wiki kadhaa kuna mtu kajitokeza kuwa kaniokotea Kitambulisho changu kikiwa kwenye mfuko wa rambo na kaniambia nimtafute anipe. Baada Masaa kadhaa kupita mwingine tena kanipgia simu ananiuliza kuwa wao ndio waliookota hicho Kitambulisho na kuniuliza kuwa nawasaidiaje hata nilipomwambia kuwa nishaongea na mwenzake bado hanielewi na anauliza kuwa hiyo pochi ilikuwa INA shilingi ngapi?.sikuweza kumwambia chochote apo. Nifanyeje HAPA ili nisije ingizwa kingi tena.