Ziko nyingi zaidi ya hizo chache ulizotajaHivi nahitaji ufafanuzi wa haki sawa maana yake ni nini? Maana matumizi nyumbani ni jukumu la baba kupeleka watoto shule ni lake kuhakikisha usalama wa sehemu munapoishi ni la baba mama akifanya ni kwa msaada tu.kitu kikiwa kizito kubeba utasikia hiki anakiweza mwanaume. Sasa haki inayodaiwa na kutakiwa kuwa sawa ni ipi?
Sikuhizi vitu vizito vinabebwa na forklift, excavator, crane, roboti etc. Ulimwengu wa sasa unaendeshwa kwa soft part of human. That is why Woman=Man. Ulimwengu unatabiliwa kushikiliwa na wanawake katika nyanja nyingi mbalimbali kwa sababu woman are more Humanity, flexble and nimbleness and that are key part of future daily life . Achana na mambo ya ubabe Ulimwengu tuaoingia ni wa data technology, vita mtu anapigani yupo chumbani na laptop tu mkuu. Change your mindset nguvu na mabavu ya misuli za mwili hazina misaada huko mbele mkuu.Hivi nahitaji ufafanuzi wa haki sawa maana yake ni nini? Maana matumizi nyumbani ni jukumu la baba kupeleka watoto shule ni lake kuhakikisha usalama wa sehemu munapoishi ni la baba mama akifanya ni kwa msaada tu.kitu kikiwa kizito kubeba utasikia hiki anakiweza mwanaume. Sasa haki inayodaiwa na kutakiwa kuwa sawa ni ipi?
AhsanteSikuhizi vitu vizito vinabebwa na forklift, excavator, crane, roboti etc. Ulimwengu wa sasa unaendeshwa kwa soft part of human. That is why Woman=Man. Ulimwengu unatabiliwa kushikiliwa na wanawake katika nyanja nyingi mbalimbali kwa sababu woman are more Humanity, flexble and nimbleness and that are key part of future daily life . Achana na mambo ya ubabe Ulimwengu tuaoingia ni wa data technology, vita mtu anapigani yupo chumbani na laptop tu mkuu. Change your mindset nguvu na mabavu ya misuli za mwili hazina misaada huko mbele mkuu.
Matatizo unayoyataja yote yanafanywa bila kuhitaji misuli na nguvu kubwa. surviallance camera, gari kupeleka wato shule, electrical short katika uzio pamoja na robort, bastola hata mtoto wa la saba atatuia kujilinda.
kuchepukaHivi nahitaji ufafanuzi wa haki sawa maana yake ni nini? Maana matumizi nyumbani ni jukumu la baba kupeleka watoto shule ni lake kuhakikisha usalama wa sehemu munapoishi ni la baba mama akifanya ni kwa msaada tu.kitu kikiwa kizito kubeba utasikia hiki anakiweza mwanaume. Sasa haki inayodaiwa na kutakiwa kuwa sawa ni ipi?
Ahsante
Yes
Ke
Huru ana wote lakini sijaonaZiko nyingi zaidi ya hizo chache ulizotaja
Maisha yanahitaji kusaidiana majukumu akipewa nafasi sawa mama anamchango mkubwa sana katika ustawi wa familia mpe nafasi mfurahie maisha
Hupo ulimwengu gani huo maana hiyo sio tanzania wala Africa.eti mtoto atajilinda!kesi kila siku ni za nini kuibiwa watoto nahisi uko chini ya 18 hujui majukumu bado.Sikuhizi vitu vizito vinabebwa na forklift, excavator, crane, roboti etc. Ulimwengu wa sasa unaendeshwa kwa soft part of human. That is why Woman=Man. Ulimwengu unatabiliwa kushikiliwa na wanawake katika nyanja nyingi mbalimbali kwa sababu woman are more Humanity, flexble and nimbleness and that are key part of future daily life . Achana na mambo ya ubabe Ulimwengu tuaoingia ni wa data technology, vita mtu anapigani yupo chumbani na laptop tu mkuu. Change your mindset nguvu na mabavu ya misuli za mwili hazina misaada huko mbele mkuu.
Matatizo unayoyataja yote yanafanywa bila kuhitaji misuli na nguvu kubwa. surviallance camera, gari kupeleka wato shule, electrical short katika uzio pamoja na robort, bastola hata mtoto wa la saba atatuia kujilinda.
This!Sikuhizi vitu vizito vinabebwa na forklift, excavator, crane, roboti etc. Ulimwengu wa sasa unaendeshwa kwa soft part of human. That is why Woman=Man. Ulimwengu unatabiliwa kushikiliwa na wanawake katika nyanja nyingi mbalimbali kwa sababu woman are more Humanity, flexble and nimbleness and that are key part of future daily life . Achana na mambo ya ubabe Ulimwengu tuaoingia ni wa data technology, vita mtu anapigani yupo chumbani na laptop tu mkuu. Change your mindset nguvu na mabavu ya misuli za mwili hazina misaada huko mbele mkuu.
Matatizo unayoyataja yote yanafanywa bila kuhitaji misuli na nguvu kubwa. surviallance camera, gari kupeleka wato shule, electrical short katika uzio pamoja na robort, bastola hata mtoto wa la saba atatuia kujilinda.
This!