Alaaa! Kumbe siku hizi mna vyeo kama vya CCMUtaumiza kichwa, unataka mhamasishaji akueleze technical issues za game.
Ukisha kuwa na hela unatengeneza ajira kwa watu mbalimbali.Alaaa! Kumbe siku hizi mna vyeo kama vya CCM
We picha ya Manara ya nini, kwani humjui manara?Hata kapicha umeshindwa kuweka, anyway wale wa home games wana advantage ya kupita
Kiongozi, hapo umemnyanyapaa kwa ulemavu wake, hujampinga kwa hoja. Hakuomba kuwa mlemavu mkuu. Kumbuka kuwa, hujafa hujaumbika, dunia duara , hujui utayokutana nayo kesho.Zeruzeru hawezi kuongea bila kuiwaza Yanga.
Kabla nawewe uja hukumu tafuta kamusi ufahamu nini maana ya zeruzeru.Kiongozi, hapo umemnyanyapaa kwa ulemavu wake, hujampinga kwa hoja. Hakuomba kuwa mlemavu mkuu. Kumbuka kuwa, hujafa hujaumbika, dunia duara , hujui utayokutana nayo kesho.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza acha izo fikra potofu! Nawe unaweza ukazaa mtu wa aina hyoZeruzeru hawezi kuongea bila kuiwaza Yanga.
Kama sio unyanyapaa kwa nini usimwite tu Haji? Vyovyote iwavyo sio busara kumsema mtu unayemfamu kwa wajihi wake kwa nia ya kuutumia ili kumponda, iwe 'bonge ' , 'shoti' au 'tall 'Kabla nawewe uja hukumu tafuta kamusi ufahamu nini maana ya zeruzeru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief binafsi nilijikita kwenye taaluma na mkataba wake, sidhani km Kaz yake n kuizungumzia yanga tu kila kukicha, mambo ya kutembea na mabakuri ni kipindi Cha mpito, na nilichokuwa nakitarajia mm kwenye conference yake n kuizungumzia timu yake na mechi inayokutana nazoKama sio unyanyapaa kwa nini usimwite tu Haji? Vyovyote iwavyo sio busara kumsema mtu unayemfamu kwa wajihi wake kwa nia ya kuutumia ili kumponda, iwe 'bonge ' , 'shoti' au 'tall '
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app