samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
Nilikuwa namuangalia kupitia TBC 1 katika kipindi cha Mboni Show akihojiwa na muandaaji wa kipindi hiko Mboni, na ktk mengi aliyoongea na takwimu alizokuwa anazojifanya anazijua akaja akasema eti "Simba ndio club iliyo juu ya hiyo YANGA kwenye ranking za Africa inayojisifu ya kimataifa". Jambo lililonifanya niingie mtandaoni kuusaka ukweli na ndio nikakutana na hii ranking ya sasa kuwa YANGA IPO NAFASI YA 324, inayofuatia ni Azzam ya 344 na hiyo Simba yake ikishika nafasi ya 349. Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase