huwa simwelewi huyu msemaji wa simba? kitendo alichokifanya juzi pale uanjani ni cha hatari sana sana sana? sijui kama anajua.
haji manara hata Manchester united na timu kubwa zote zina watu wa PR lakini mbona hatuwaoni wakinengua uwanjani? tanzania sio kijiji badilika kaka. unatia aibu wewe hujui tu.
umekuwa ukiongea maneno yenhe kusambaza chuki huku ukijidai at huo ni utani.