Hajanambia


Mkuu kwahiyo sasa we kule unaenda kufanyaje, unaenda kukubali kwamba kweli demu alikua wakwako na mimba iliyotolewa ni yako au unaenda kukataa? Kama unaenda kukataa then sioni haja ya kwenda kabisa maana unaweza kukatalia huku ulipo na ukamweleza mama mdogo kwamba wewe huhusiki.. Labdakama unataka kwenda kumuona demu wako
 
kijana atarejea bana hawawezi mtia nyavu bana
 
"Damu poza " ndio nini Cole
 
"Nilimkanyaga mara tatu"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana unajipeleka kumbe.
 
Acha uboya weye, UNAENDA KUFANYA NN SASA??.

Tangu lini kondomu ikapotisha mimba??.

Na una uhakika gani kama kweli alikuwa na mimba na akaitoa??

JIANGALIE USIJE UKAWA TAWI MBOVU, UKAKABIDHIWA DEMU,
DEMU MWENYEWE HANA AJIRA WALA NINI, WEE MWENYEWE INAONEKANA MTOTO WA MAMA, KULA KULALA mtaishije???
 
Wewe nenda ukiulizwa kili kuwa kweli ulimgegeda ,ila taarifa ya mimba hakukupa hivyo pia mpaka anatoa wewe hukuwa na taarifa,kwa hiyo humuamini tena maana amekuficha mambo muhimu hivyo huwezi endelea naye,mwambie mzee lengo ilikuwa umuoe lakini umeghairi baada ya kutoa mimba yako,,,wakati unamueleza huku unafuta machozi hewa kutia msisitizo kuwa umeguswa
 
Na huyo dada elimu imemsaidia nini???? jamani wanawake tukiwapeleka shule ni ili muwe na tofauti na hawa ambao hawajasoma.

Mtu amehitimu Udsm Ina maana reproduction kaanza kusoma tokea la tano,form three,sijui form 5 na Bado kaenda chuo tena udsm,sasa mtu huyu anashindwaje kujua Kuna siku za Hatari,njia za kuzuia mimba,Kuna vidonge vya kumeza kabla ya kushiriki ngono.

Na Kuna mazingira ya kumfundisha mwanamke ujanja na jinsi ya kupambana na mimba kama chuo??????Toka lini mwanaume akashika mimba??? "alinilazimisha" ms*nge wewe utakufa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mwalimu wao Ni yule yule wapate elimu wakose bado mwalimu wao Ni yule yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…