Usingeenda wangekufanyaje?Baba wa mtto ambae ni daktar hapo hospital
Safi aseeh hili ndo lililopo kichwani kwangu nitawajibu ninachokijua tu asante sana nawaza tu namna walivyo na jazba maana simu imepigwa napigwa nabit ya kufungwa jela tu ila naamin sheria zipomkuu we kuwa na amani maana hujatoa mimba wewe na hukumshauri atoe mimba wewe na hukumpa mimba wewe, so kula ushibe, kunywa utosheke huna haja ya kupoteza amani na furaha kwakitu usichokitenda,
Namna ya kufanya kwenye maswali ni kujibu vile utakavyoulivya maana ukweli ndivyo ulivyo usitegemee ama kuwaza watakuelewa ama laa wee waeleze kukubali ama kutokukubaliana nawe ni juu yao maana mwana wa adamu huwa hata akiambiwa ukweli huwa haamin.
kingine huna kesi yoyote mahakamani ama kituo cha polisi,
swadakta mkuu, uongo naukweli kamwe haviwezi kuungana watakutisha but mwisho wasiku mambo yataisha, yawezekana na huyo mwanamke kaogopa kumtaja ambae yupo karibu labda kwa kuhofia moto ambao ungemwakia akaona uwe wewee but kumbe nayo haijasaidiaSafi aseeh hili ndo lililopo kichwani kwangu nitawajibu ninachokijua tu asante sana nawaza tu namna walivyo na jazba maana simu imepigwa napigwa nabit ya kufungwa jela tu ila naamin sheria zipo
kwakosa gani kisheria?Unakwenda kufungwa
Yaa sure mwenyew naliwaza sana hiliswadakta mkuu, uongo naukweli kamwe haviwezi kuungana watakutisha but mwisho wasiku mambo yataisha, yawezekana na huyo mwanamke kaogopa kumtaja ambae yupo karibu labda kwa kuhofia moto ambao ungemwakia akaona uwe wewee but kumbe nayo haijasaidia
U mwanaume yataisha
Yan mamdogo ni muoga na kashika dini sana .... Wamempanikisha na amepanik kwel kwel hatak kunielewa anachota ni mm kwenda basiSasa kwanini kakutaja na wakati anajua mlitumia kinga, kama alivyosema Mdau hapo juu for the sake of your Aunt nende kamuondoe kwenye msala lakini pia wamekuona wewe ni Damu poza
Wangekutana na Wanaharakati wenye mambo yao ya kufunya wasingeenda na wasingepigwa biti kwenye simu
mkuu nenda hayo ya kawaida we ukifika ni kama umemvua msala then unauvaa wewe then unaumaliza kwa namna yoyoteYan mamdogo ni muoga na kashika dini sana .... Wamempanikisha na amepanik kwel kwel hatak kunielewa anachota ni mm kwenda basi
Yan mamdogo ni muoga na kashika dini sana .... Wamempanikisha na amepanik kwel kwel hatak kunielewa anachota ni mm kwenda basi
Wewe njoo tuu, tutaelewana.Aseeh wanawake wanawake [emoji1311] miez mitatu sasa imepita toka nilipo enda moro kumtembelea mamdog nili kaa wiki mbili pale kwake nikapata wasaa wa kumkanyagaa mtto mmoja wa pale mtaani nilimkanyaga mara 3 basi tumeendelea kuwasiliana kwa kipind chote iko hajawah nambia kama alishika ujauzito na ukizingatia sikuwa nawaza swala hilo coz mara zote tulitumia condom basi bana majuzi katoa mimba kutumia dawa katoka na dam nying mno kiasi cha kupeleka kupoteza fahamu kaja kupata fahamu huko akaulizwa niya nan na nan kamshauri akanitaja mm
Sasa iv nimepigiwa simu naelekea moro kizur chat zote nilizo chat nae sijafutaga zipo ila bado najiuliza watanielewa vip mm yan napanga nianze wap sielew duhh
Msichana anamika 26 amehitimu UDSM yupo home tu
Naomben msaada njia ya busara kujitetea wakubwa na wadogo zangu
Kama kweli ni girl friend wako, utafungwa tu.kwakosa gani kisheria?