Dunia imejaa mijitu mijinga mnooyuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.
Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.
Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.
Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.
Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Mkuu wajinga wengine unawaacha na ujinga waoLinganisha na kauli hizi:
1. Titanic haiwezi kuzama kamwe; hata Mungu hawezi kuizamisha.
2. Dola ya Babeli (baadaye wakasema Rumi) haitoweza kuangushwa kamwe.
3. Michael Jackson hawezi kufa.
4. Korona haiwezi kuisha.
5. Makao makuu ya Bongo hayawezi kuhamia Dodoma.
Nani kakudanganya ww usa anakuja na mbinu mpya ya cryptocuency tyr ashatengeneza pesa inaitwa Pi network we shangaaa tu yuko mbele miaka 100 atahama dollar ataingia pi na sahz inagawiwa bure kwa mfumo wa miningyuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.
Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.
Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.
Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.
Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Usiziamini sana hizo takwimu za GDP; huwa zinadanganya sana kwa sababu wanaozipika ndio walewale wanaozipigia chapuo nchi zao husika.Itawezekana ila sio kwa leo ama kesho. Brics gdp yao ni Trillioni 27 Dola za kimarekani. Marekani yeye GDP yake ni Dola 29 Trilioni.
America kuna watu wengi sana wanamiliki silaha nyingi sana majumbani kwao hilo pia ni mtihaniUSA sio mfalme , tena ni taifa lenye race nyingi ni rahisi sana kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe .
Kama ni nguvu basi zipo story kubwa sana kuelekea anguko lake hasa kweny vita vya ndani ..
Basicaly hakukua na nguvu or sarafu yenye nguvu. Nchinzilikuwa ziko scattered but us waliona opportunity hiyo na kuitumia. Lakini blue print zake zilitoka kwa wakoloni walio explore hizo routesSasa utajuaje pengine hiyo nguvu ndo imeleta sarafu ya BRICS? Kwani kabla ya $ hiyo nguvu ilikuwa imeweka nini?
Changamoto US watu wanaenda kununua nini kwake! Maana leo huwezi kuwaambia EU waache Currency yao ambayo ina thaman zaidi ya Dollar alafu wang'ang'anie pesa ya US! Kwaiyo haya mambo yataamuliwa na bidhaa ulizonazo zinahitajika zaidi?Nani kakudanganya ww usa anakuja na mbinu mpya ya cryptocuency tyr ashatengeneza pesa inaitwa Pi network we shangaaa tu yuko mbele miaka 100 atahama dollar ataingia pi na sahz inagawiwa bure kwa mfumo wa mining
Sasa mkuuu, kwa ulivoandika inaonesha unajua ni lini nguvu ya USA itaisha,,, Tuma or ni lini ili utakapofika huo wakati tuwe na na Tumaini kwamba Ule wakati ni sasa,,,🤔yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.
Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.
Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.
Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.
Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Kwani nani alijua itafika siku ambayo itakuja redio station itaifunika Clouds FM kwa namna ambayo ilikuwa imara nchini.yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.
Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.
Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.
Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.
Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Lakini hawana nguvu za kutetea na kulinda fedha zao.Nguvu kwa maana ipi? Mbona kuna nchi fedha zao zina thamani ya juu kuliko hiyo US $
Sasa kwa namna China anavyoshika masoko ya dunia nani atanunua bidhaa za kibeberu kwa bei mara 2 ya china?🤣Changamoto US watu wanaenda kununua nini kwake! Maana leo huwezi kuwaambia EU waache Currency yao ambayo ina thaman zaidi ya Dollar alafu wang'ang'anie pesa ya US! Kwaiyo haya mambo yataamuliwa na bidhaa ulizonazo zinahitajika zaidi?
Dunia inasogelea matumizi ya sarafu moja japo muda bado. Upo sawa kuwa $ ina nguvu na ndio giant wa sarafu dunia ya leo, ila kusema kuwa sarafu mpya zitafeli kabla hata hazijaanza matumizi ukaona udhaifu na uimara wake hayo ni mahaba mkuu.Basicaly hakukua na nguvu or sarafu yenye nguvu. Nchinzilikuwa ziko scattered but us waliona opportunity hiyo na kuitumia. Lakini blue print zake zilitoka kwa wakoloni walio explore hizo routes