Haiti joins African Union



wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuongea ujinga kama huu.
 
Haya makala yako ni tedious kusoma. Ukipata muda jaribu kuturahizishia wenzio kusoma kwa kupanga paragraphs. Nilitaka kujua kitu kimoja tu ambacho nimechoshwa na maandishi yako sijasoma hadi mwisho.


Hawa waafrika waliotumwa Haiti kufanya biashara hiyo miaka 1300 walitumia usafiri gani hasa kufika kule? ni hilo tu. Au umeingia kwenye mtego wa kuamini kila jambo ambali lipo katika maandishi? Walitumia meli za namna gani hasa. Au walifika kule kwa nyungo? samahani kwa utani huo hapo mwisho....



 
The only poorest, underdeveloped nation in the western hemisphere, and some/most Haitians don't consider themselves Africans?!.... and now this?
 
The only poorest, underdeveloped nation in the western hemisphere, and some/most Haitians don't consider themselves Africans?!.... and now this?
Ukiwakuta Florida hao wahaiti wanaringaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nyodo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lakini thanks to the earthquake that hit Haiti a few years ago, walikuwa exposed, na siku hizi wahaiti wengi wanaona hata aibu kujitambulisha kuwa ni wahaiti
 

Tena ukijitulisha wewe mwafrica ndo kabsaaa!, they look at you like s**t
 
wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuongea ujinga kama huu.

Weye ndo unaona huo ujinga lakini hio ni fact: Wajamaica ni weusi lakini hawaupendi uafrika huo ndo ukweli nimewaona na kuwasikia sio wewe uko bongo unafikiri kila mweusi anajivunia huo weusi wake...tena wanasema kabisa waaafrika ni maskini sana na afrika ni jungle hawawezi kuishi huko..cjasimuliwa nimewasikia na kuwaona..ww jifanye tu hao ni wenzako....sio wenzako pheeewww.
 

Worse still, AU wameiga model kwa EU.

Walioigwa wana crumble sasa.

Walioiga hawajui wafanyeje!

Hatuwezi kuja na kitu chetu wenyewe?
 
interesting news

let me ask... africa ni race au geographical location?
 
Nahisi ni just a geographical location

thanks Rev. i had to ask maana kuna comments hapo juu kwamba Haiti is more african that Morocco or Egypt etc.

to me africa ni location na sio race wala dini
 
thanks Rev. i had to ask maana kuna comments hapo juu kwamba Haiti is more african that Morocco or Egypt etc.

to me africa ni location na sio race wala dini
You got that right, mkuu
Ukifika Dominican republic, utawakuta watu weusi wenye nywele za pilipili na complexion ya mpingo. Lakini ukitaka wakuchukie ama hata kukuua waambie kuwa wao ni blacks au waafrica yaani hapo mtakosana sana.
Uko sahihi, nadhani Africa is just a geographical location
 

I once roomed with a Haitian dude when I was in college. The moment he found out I was Tanzanian (African) he started acting all stuck up like his shit didn't stink.

Too bad he didn't know who he was dealing with because I made it clear I would have none of his bullshit. Eventually we became best of friends and even made a couple trips down to Ft. Lauderdale and hung out with his family and quite honestly they were good people.

And my take-away from hanging out with him and his family was that the main problem (if you can call it that) with some/ many of them is ignorance.

I say that because once you engage with them and get to know each other most of their false perceptions about you and where you come from just simply go away.
 
Ndugu zangu aboriginals wangekuwa superior ktk nchi yao huenda tungeungana na bara la Australia, lkn ndio hivyo tena kumekuwa kwa wazungu
 
Tha's an absolutetly good response. African Union is the most laziest entity the world has ever known. It has full of tyranical rulers, kings, dictetors and financial embezzlers rulers. They keep talking about stupid things like , Pan africanism, gender imbalance and sending peace keeperers to a troubled countries but they never talk about cutting back presidential powers. Presidential powers is the source of all problems the african people suffered.

They keep making decision that does not account on peooples wellbeings. Like Chad and Sudan supporting jihadists in central african republic! Supporting M-23 in eastern Congo! supporting communism in Angola and Moqambiques! hating jewish people to appease Arabs,selling land to Arab, stealing wananchi's money on fake budgets and you name it!!! the AU has been a bystander to all problems.

Therefore, I feel sorry for Haiti to join Club that do not have respect world wide!
 

i went to school with people from Haiti, commonwealth dominica, jamaica na St. Kitts... they were like 7 na ni mmoja tu ndio alikua proud to be associated na uafrica

and were very shocked kuona hata picha za africa, miji na culture kewnye net

i think they are moer of ignorant kuliko hating africa
 
Race,hakuna mzungu mweusi.

Nakuunga mkono.,africa ni race... unaposema african ina maana black race...na ndio maana waamerica weusi siku hizi wanaitwa african american...hata akiwa ni mweusi mwenye asili ya Haiti au jamaica... still ataitwa hivyo- african american.kwa maana ngozi yake ni mweusi huyo...nakaribisha kupingwa!!!
 

Nawe una mawazo kama ya wazungu kua na ngozi nyeusi ina maana ni MWaafika. Sasa naomba kufahamishwa watu wa mataifa yafuatayo ni waafrika? Micronesia,FIji,Jamuhuri ya DOminika,PAnama,EL Salvador,MAshaal,ST. LUCIA,SIR LANKA, BANGLADESH,VENEZUELA,COLUMBIA,GUYANA,FRANCE GUYANA,BAHAMAS,PUETO RICO, COSTA RICA,DOMINIKA,

Mwafrika ni yeyote alitoka/kaa katika bara la Afrika,hivyo kij iografia Misri,Algeria Mauritania, Angola, Cap Verde Jibuti,Comoro, Msumbiji zote ni Afrika, ila kirace MISRI TUNISIA, na wengine hao ni WAarabu.
 

Wewe kweli unawajua
 

Rastafari ni dini ambayo inaabudu utu weusi. Jamaica ndiyo ngome kuu ya Urasta. Mtume wa Marastafari alizaliwa Ethiopia, aliishi Ethiopia na kufia huko, na wapo waethiopia ambao hutamani kwenda Ethiopia kuhiji. Ethiopia ipo Afrika, yaani bara la KuSh. Na Kush maanake nchi ya watu weusi. Wajamaica walio wengi wanapenda kujitambulisha wenye asili ya Kush.

Hapa JF huwa tunapita kujifunza mambo. Unapokuwa hujui kitu unanyamaza kusoma wengine wanaolijua hilo jambo vizuri wanasema nini kwani kwa kufanya hivyo utajifunza mengi. Sasa wewe ambacho umejaribu kufanya hapa ni kujaribu kufundisha kitu ambacho hukijui. Ndiyo maana nilikwambie dogo, wakati mwingine ni busara kukaa tu kimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…