Gmox JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 319 Reaction score 478 Oct 30, 2020 #21 Kipangaspecial said: Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya Click to expand... ƙariɓu 36% ƴa waɓunge wenu mnasema wamepita ɓila ƙupingwa ,sasa sijui wataenɗa ƙumwongoza nani maana hawajamchagua hao wananchi mnao sema wanaipenɗa ccm , swali mnaposema ƙapita ɓila ƙupingwa je huƴo waƙumpinga au ƙumƙataa aliƙuwa nani ƙama si huƴo mwananchi mliƴe mnƴima haƙi ƴaƙe ƴa ƙumpata ƙiongozi anaƴe mtaƙa👎shame😢😢
Kipangaspecial said: Hawa ndiwo wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana ccm, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama ulaya Click to expand... ƙariɓu 36% ƴa waɓunge wenu mnasema wamepita ɓila ƙupingwa ,sasa sijui wataenɗa ƙumwongoza nani maana hawajamchagua hao wananchi mnao sema wanaipenɗa ccm , swali mnaposema ƙapita ɓila ƙupingwa je huƴo waƙumpinga au ƙumƙataa aliƙuwa nani ƙama si huƴo mwananchi mliƴe mnƴima haƙi ƴaƙe ƴa ƙumpata ƙiongozi anaƴe mtaƙa👎shame😢😢
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,844 Oct 30, 2020 #22 stakehigh said: Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nn Click to expand... Ndiyo uwezo wa akili yako umeishia hapo...
stakehigh said: Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nn Click to expand... Ndiyo uwezo wa akili yako umeishia hapo...
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,844 Oct 30, 2020 #23 stakehigh said: Mmeweka mawakala hamjaweka? Click to expand... Ndiyo maana nakuambia kichwani umejaza funza tuu, hujasikia kwamba mawakala wengi hawakuingia vyumba vya kura na waliongia walifukuzwa? Endelea Kufurahia demokrasia kukanyagwa...
stakehigh said: Mmeweka mawakala hamjaweka? Click to expand... Ndiyo maana nakuambia kichwani umejaza funza tuu, hujasikia kwamba mawakala wengi hawakuingia vyumba vya kura na waliongia walifukuzwa? Endelea Kufurahia demokrasia kukanyagwa...
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Oct 30, 2020 #24 stakehigh said: Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nn Click to expand... Sauti ya "kura" na ya "kura ya wizi" unazitofautisha je?
stakehigh said: Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nn Click to expand... Sauti ya "kura" na ya "kura ya wizi" unazitofautisha je?
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Oct 30, 2020 #25 Hii ni matokeo ya wasomi tulio nao. Hatuwezi kufanya chochote.Tuliwasomesha ili watusaidie,na kwa upeo wa elimu zao,wameona hii ndiyo njia bora ya kufanya.Sisi ni nani kuwakatalia?
Hii ni matokeo ya wasomi tulio nao. Hatuwezi kufanya chochote.Tuliwasomesha ili watusaidie,na kwa upeo wa elimu zao,wameona hii ndiyo njia bora ya kufanya.Sisi ni nani kuwakatalia?