hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nnInaonekana Tanzania chama kisafi kuliko vyote ni ccm ndio maana wamechukua majimbo yote.japo sio sawa hata kidogo hakuna aliyekamilika kiasi hicho chini ya hili jua. Ni wazi hata mumngu mwenyewe pamoja na ukamilifu wake lakini bado ana mpinzani wake ambaye ni lucifer hata mwanaye yesu kristo pamoja na ukamilifu wake wote bado alipata mpinzani Yuda eskarioti ccm ni nani mpaka wakubalike kiasi hicho, ngekewa hii!!! 😎
Kura ipi...??? Haya maigizo yaliyofanywa na tume ndio tuseme kura zimetoa majibu 😏 huku si kutakuwa nikujidanganya mchana kweupe ati! 😕😕😕Kura ndo zmeongea sasa ulitaka wafanye nn
Mmeweka mawakala hamjaweka?Kura ipi...??? Haya maigizo yaliyofanywa na tume ndio tuseme kura zimetoa majibu 😏 huku si kutakuwa nikujidanganya mchana kweupe ati! 😕😕😕
Hao mawakala watabadili nini ikiwa nyinyi hamkutaka kwenda katika haki. Acheni kuhalalisha wizi wenu wa fedha za watanzania bila aibu tena mchana kweupe.Mmeweka mawakala hamjaweka?
Hao mawakala watabadili nini ikiwa nyinyi hamkutaka kwenda katika haki...
Acheni kuhalalisha wizi wenu wa fedha za watanzania bila aibu tena mchana kweupe....
Kulikuwa na haja gani kusema tutakuwa na uchaguzi mkuu tena kwa kutenga mabilioni ya pesa kwaajili ya kuukamiilisha mchakato wa uchaguzi ili hali mwajua hatutokuwa na uchaguzi bali uteuzi..
tena bila aibu eti unasingizia mawakala!!! Kwamba wao ndio walikuwa wasimamizi wa Uchaguzi ama!!! Shame on you 😑😑
Haileti mantiki◼Uchaguzi ulikua mweupe, wakala wenu walikuepo, kura zmehesabiwa, matokeo yametoka sasa unataka kujitetea nn? We we ndo umeona zaidi ya mawakala?
Haileti mantiki◼
Swali lako amelijibu vizuri kabisa huyu mtumishi Bagonza WOTE HAWAAMINI...Alafu MBNA wachangiaji hakuna Leo, wamepata pressure nn
Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.Inaonekana Tanzania chama kisafi kuliko vyote ni ccm ndio maana wamechukua majimbo yote.japo sio sawa hata kidogo hakuna aliyekamilika kiasi hicho chini ya hili jua. Ni wazi hata mumngu mwenyewe pamoja na ukamilifu wake lakini bado ana mpinzani wake ambaye ni lucifer hata mwanaye yesu kristo pamoja na ukamilifu wake wote bado alipata mpinzani Yuda eskarioti ccm ni nani mpaka wakubalike kiasi hicho, ngekewa hii!!! 😎
waandamane nini wakati iko wazi uchaguzi haukwepo Tanzania bali Kulikuwa na igizo la uchaguzi ⚠Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Ni kweli kabisa uchaguzi ulikua mweupe, ila vipi hizo kura fake zmetokea wap!?Uchaguzi ulikua mweupe, wakala wenu walikuepo, kura zmehesabiwa, matokeo yametoka sasa unataka kujitetea nn? We we ndo umeona zaidi ya mawakala?
Ni kweli kabisa uchaguzi ulikua mweupe, ila vipi hizo kura fake zmetokea wap!?
Ukinijibu hili ntakuunga mkono kabisa kua CCM inastahili hayo majimbo yote.
Swali lako amelijibu vizuri kabisa huyu mtumishi Bagonza WOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
KWA nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
Wakala wenu wanafanya nn sasa? Hakuna kura yoyote fake, si hata lissu alipiga kura akasema uchaguzi unaenda vizuri, sasa .mdomo wa nn
Tafuta mantiki yako basi kama unaona haileti mantiki unayoitaka wewe.Haileti mantiki◼
waandamane nini wakati iko wazi uchaguzi haukwepo Tanzania bali Kulikuwa na igizo la uchaguzi ⚠