donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hizo software za boosting kazi yake ni kudedicate Ram na Cpu kwenye game, jambo ambalo unaweza kufanya mwenyewe.Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa laptop ambayo Haina specs za kutisha?View attachment 2024895View attachment 2024896
kwangu tomb raider ndio the best game of all.time japo nimemaliza zote ila ile ya kwanza ya mwaka 2013 ni kariKwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa laptop ambayo Haina specs za kutisha?View attachment 2024895View attachment 2024896
Hàhaha, kitambo sema sijawahi ikubali. Achana kabisa na COD wewekwangu tomb raider ndio the best game of all.time japo nimemaliza zote ila ile ya kwanza ya mwaka 2013 ni kari
shingapi mkuu na,ni model gani iyoLeta pesa nikuuzie ps3 ucheze vzr hilo nilicheza nikafika sehem unatakiwa ulipue zile sehem za heavy equipments ziko sita nikaikosa moja hadi leo
SUPER SLIM COMPLETE 350kshingapi mkuu na,ni model gani iyo
kwangu tomb raider ndio the best game of all.time japo nimemaliza zote ila ile ya kwanza ya mwaka 2013 ni kari
Bei gani mkuu??Leta pesa nikuuzie ps3 ucheze vzr hilo nilicheza nikafika sehem unatakiwa ulipue zile sehem za heavy equipments ziko sita nikaikosa moja hadi leo
Na pad ngapi mkuu? Iko chipped?SUPER SLIM COMPLETE 350k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], inaonekana we ni mzee wa 5 stars wantedMi hunielezi kitu kwa GTA tena bado navinjari na GTA za zamani mashine yangu ndogo
Kimsingi huwa napenda kuranda randa tu na kuanzisha misala
Sipendi game za kunibana bana sijui ku complete mission au nini
Mi nataka nipande gari niende nikaibe bank nianzane na polisi
Mara nikatize mitaa ambayo nipo wanted nilianzishe..... ivo yani
me gta siipendi sana,hapa nasubir mwakani wanatuletea uncherted kwenye version za,pc na god of war 4 najua pc yangu lazima itasukuma,tu hizo gameMi hunielezi kitu kwa GTA tena bado navinjari na GTA za zamani mashine yangu ndogo
Kimsingi huwa napenda kuranda randa tu na kuanzisha misala
Sipendi game za kunibana bana sijui ku complete mission au nini
Mi nataka nipande gari niende nikaibe bank nianzane na polisi
Mara nikatize mitaa ambayo nipo wanted nilianzishe..... ivo yani
GOW ni msalame gta siipendi sana,hapa nasubir mwakani wanatuletea uncherted kwenye version za,pc na god of war 4 najua pc yangu lazima itasukuma,tu hizo game
Pads mbili na iko chippedNa pad ngapi mkuu? Iko chipped?
350k completeBei gani mkuu??
yeah tena,kama,hiii ya 2018 ni kari sana aseeeGOW ni msala