Hai express Dar-Dodoma laharibika

Hai express Dar-Dodoma laharibika

Joined
Jul 27, 2012
Posts
19
Reaction score
7
Abiria wa basi Hai express linaloenda Dodoma wamecharuka muda huu hapa kimara baada ya basi hilo kuharibika.hivi sasa vurugu,mabasi ya hai kumbe yamechoka
 
Abiria wa basi Hai express linaloenda Dodoma wamecharuka muda huu hapa kimara baada ya basi hilo kuharibika.hivi sasa vurugu,mabasi ya hai kumbe yamechoka

What a poor conclusion? Basi moja la Hai likiharibika maana yake yote yamechoka? Division 5 zitatusumbua sana nchi hii.
 
Back
Top Bottom