Hahhahaa kiboko msheli

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nadhani hii itakuwa ni fundisho la kudumu kwa hawa wezi AWATARUDIA tena.
yani wamepigwa bomba kwa muda wa siku 5 na hilo jitu la miraba 8 asalaleeee!
 
Ee bhana umenikumbusha mbaali sana na Kiboko Msheli, mimi nilikuwa Komando Yoso dadadeki, mpaka Mrema alivyokuja kutuzingua,...
Magomeni kagera hiyo kwenda mburahati
 
Duuh kwa hiyo Marinda yamefumuliwa?? Choo kimezibuliwa kwa siku 5..Toba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…