Hahahaha Mbavu zangu

Ebannaee huwa anavunja nazi kwa kutumia makalio nini?
 
mmmh!!!! ha ha ha utakuwa ni wewe si bure
 
Kununua chupi, sox, viatu huwa ni zoezi gumu kwa watu wengine!
 
ha ha ha haya mabo ya kupigana picha ni shida tupu
 
uwiiiiii mbavu zangu mie..ananikumbusha mchezo wa kuteleza kwenye vichuguu utotoni..ha ha ha
 
hahhahaaha..mbavu zangu na mimi jamani...nimeipenda sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…