hahaha

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Ticha katoa assignment madogo
wachore mchoro wowote mzuri
kwenye karatasi nyeupe. Baada ya
dakika 6 dogo mmoja akasimama
kumpelekea ticha karatasi
kwamba kamaliza. ticha kucheki
akaona karatasi nyeupe dogo
hajachora kitu. Akamswalika:
Umechora nini?
Dogo: Sir nimechora ngo'ombe
anakula majani.
Ticha: Sasa mbona hakuna majani
hapa?
Dogo: Ng'ombe amekula yote sir!
Ticha: Na ng'ombe mwenyewe
yuko wapi, mbona hakuna?
Dogo: Majani yalivyoisha na
ng'ombe naye akaondoka sir, ndo
maana hamna kitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…