ni vizuri kumjibu mtu humpendi kuriko kukaa kimya mbona jamaa mwengine kamchana hamtaki?Kuentertain mapenzi sehem ya kazi sio salama...
Tukirud kwenye mada inaonekana hajakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
sure man i moved onKuentertain mapenzi sehem ya kazi sio salama...
Tukirud kwenye mada inaonekana hajakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea anakuchkuliaje ndo maana hajakupa jibu rasmi ila unatakiwa ujiongeze...ni vizuri kumjibu mtu humpendi kuriko kukaa kimya mbona jamaa mwengine kamchana hamtaki?
kweli mkuu nimejiongeza kwakweli simsumbui tenaInategemea anakuchkuliaje ndo maana hajakupa jibu rasmi ila unatakiwa ujiongeze...
Kuriko - kuliko
Sent using Jamii Forums mobile app