tatizo wewe bado mtoto kwenye tasnia ya mahusiano, mwenzio alikua anagegedwa wewe ukamkatisha na bado unataka aoneshe anakujua ili jamaa alienae asimpe nauli ya kurudia kwao!? ushaambiwa utatumiwa txt kausha baharia ebooh.sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe"
mkuu ukisema ivyo moyo unauma ujue nipe mbinu za kibaharia kama sitakiwi nijiongeze mapema tutatizo wewe bado mtoto kwenye tasnia ya mahusiano, mwenzio alikua anagegedwa wewe ukamkatisha na bado unataka aoneshe anakujua ili jamaa alienae asimpe nauli ya kurudia kwao!? ushaambiwa utatumiwa txt kausha baharia ebooh.
kipindi jana nipo nae nilitaka kumtoa pesa kidogo kanichomolea hataki pesa zanguMtumie hela hapo atasave namba yako
Tuma tena hela hapo atakujibu txt zako
Tuma tena hela hapo atakuja ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja waje mkuu tuone imekaajekwa situation kama hii
wanawake watakupa ushauri mzuri sana coz wao watamuelewa mwenzao anamaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe mshahara wako wa mwezi 1 atafunguka tuKuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye alinijibu hivi "mhhhh" ndio ukawa mwisho wayeye kupokea simu zangu tena wala kujibu messages hajibu tena, namimi nkaamua kumpotezea sikumtokea tena wala kumsumbua kwa simu ila tukionana kazini tunaongea tu kawaida japo sijampanga tena sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe" doh kidume limenishuka nkakata simu nkamuuliza inamaana umefuta namba zangu akawa kimya hakujibu tena nkampigia nkamwambia mimi mtu fulani akajibu sawa ntakutumia sms bdae kuna kazi nafanya kwakweli mimi huwa sipendi sana kutumia nguvu kwenye kumtongoza mwanamke sasa swali je nini nifanye anielewe aache kuringaringa au dogo hajanielewa mchizi ni move mbele na mitikasi mengine.
NB: kuna jamaa yeye alimtongoza akajibiwa hapohapo kwamba hamuhitaji ila mimi ananikaushia naombeni mawazo yenu wataalam wa hizi kazi.
Binafsi yangu nikimtongoza mwanamke akawa haeleweki sihangaikagi naye coz naona kama huyo sio fungu langu nafutaga na namba. So kama vp move on haina haja ya kuangaika naeKuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye alinijibu hivi "mhhhh" ndio ukawa mwisho wayeye kupokea simu zangu tena wala kujibu messages hajibu tena, namimi nkaamua kumpotezea sikumtokea tena wala kumsumbua kwa simu ila tukionana kazini tunaongea tu kawaida japo sijampanga tena sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe" doh kidume limenishuka nkakata simu nkamuuliza inamaana umefuta namba zangu akawa kimya hakujibu tena nkampigia nkamwambia mimi mtu fulani akajibu sawa ntakutumia sms bdae kuna kazi nafanya kwakweli mimi huwa sipendi sana kutumia nguvu kwenye kumtongoza mwanamke sasa swali je nini nifanye anielewe aache kuringaringa au dogo hajanielewa mchizi ni move mbele na mitikasi mengine.
NB: kuna jamaa yeye alimtongoza akajibiwa hapohapo kwamba hamuhitaji ila mimi ananikaushia naombeni mawazo yenu wataalam wa hizi kazi.