DuMaana yake pumbavu
Ungetuwekea tafsiri za kiswahili ingekuwa poa sana kwa wale ambao hatujui lugha ya malkia mkuu....Aesops Fables, hadithi za Esopo, ni hadithi tofauti.
Tafsiri za Kiingereza zinapatikana hapa
Aesop's Fables
Wikipedia page ipo hapa Aesop's Fables - Wikipedia
Kunradhi ndugu yangu za Kiswahili sijaziona mtandaoni, vipo vitabu vinauzwa lakini sijaona mtandaoni.Ungetuwekea tafsiri za kiswahili ingekuwa poa sana kwa wale ambao hatujui lugha ya malkia mkuu....
Basi usijali mkuu natamani sana nizisome na mimi hizo hadithi za Esopo make ndio habari inayokiki kwa sasa.Kunradhi ndugu yangu za Kiswahili sijaziona mtandaoni, vipo vitabu vinauzwa lakini sijaona mtandaoni.
Kama ziposijaziona. Sijafanya kukubagua kwa kusudi, hata mimi nilifikiri kuweka za Kiswahili lakini sikuziona.
Hadithi za Esopo - JamiiForums tembelea link hiyo utazipata hapa maana kuna mdau anaendelea kutuletea hapa JFUngetuwekea tafsiri za kiswahili ingekuwa poa sana kwa wale ambao hatujui lugha ya malkia mkuu....