chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
SEHEMU YA SABA
THE GIRLS IN ISLAND 07
“BAINA NA KELI”
Ilisikika sauti kutoka nje ya lile bwawa. Nikashangaa kuona wale wasichana wakiniachilia haraka na kusimama kikakamavu. Nilipotupa macho yangu mbele, niliona kundi la wasichana wazuri lakini wakiwa wamejazia kama wale wanaonyanyua vitu vizito.
Katikati nilimuona msichana mzuri aliyevalia nguo ndefu kama ya kihindi hivi lakini alipokua anapiga hatua zake kuja tulipokua, niliona mpasuo mkubwa sana uliosogea mpaka kwenye paja lake.
Juu alivaa taji kama la kimisi hivi huku sura yake ikipambwa na urembo mbali mbali uliomfanya azidi kuwa mzuri. Niliwatazama wenzangu waliokua kama wamelewa kwa jinsi walivyoshughulikiwa na wale mabinti.
Mimi nilitulia na kumuangalia yule dada aliyekua anatamba na kunyenyekewa. Hapo ndio akili yangu iliponisomea kua yule dada atakua ndio kiongozi wa wale wasichana
Baada ya utulivu wa muda, yule dada aliwaamuru walinzi wake waje watutoe kwenye lile bwawa. Niliona aibu kwakua idadi ya wasichana ilikua kubwa sana kwakua sikua na nguo hata moja.
Tulitolewa hivyo hivyo bila kutupa nafasi ya kuvaa nguo. Mawazo ya kupikwa tukiwa hi yalinijia na nikaanza kujenga hofu tena. Nilitamani kukimbia, ila wale wasichana waliotukamata walikua wamejazia sana na walikua na nguvu kuliko niwezanyo kuelezea.
Basi tukafikishwa kwenye kijiji ambacho kilikua na wasichana wa rika mbali mbali wakiwa wanaendelea na shughuli zao.
Kila alyebahatika kutona, basi alifaidi video ya bure kwa kututazama sisi kwa muda mrefu.
Tulifikishwa kwenye chumba maalumu ambacho kilikua na wale wasichana tuliowaona mwanzo waliokua wamevalia vibwaya tu huku maziwa yao yaliyosimama vizuri yakibaki wazi.
“nadhani mnatambua kuwa kuingia katika nchi ya watu au kuishi katika nchi ya watu ni makosa kama mtakua hamna vibali. Hivyo basi, kwa kosa hilo mlilolifanya. Natoa adhabu kali kwa mtu atakae kuwa mzembe, na ni adhabu nyepesi kwa mwanaume wa shoka. Sheria ni moja tu…kila mtu anatakiwa achague msichana wa kufanya nae mapenzi mpaka huyo msichana anyooshe kidole na kukiri kama ameridhika.,, mmesikia?” aliongea yule dada ambaye ndio malikia kwenye ardhi ile.
Hatukua na uamuzi zaidi ya kuaza kutalii kutafuta mrembo ambaye mtu ataridhika naye kwa ajili ya kutumikia adhabu hiyo.
Ingelikua huku kwetu ilikua ni adhaubu rahisi sana, ila kwakua tulikua katika kisiwa cha maajabu, kila mmoja aliona ni adhabu kubwa sana kuchagua mrembo wakati wote walikua warembo na wanaozidiana kidogo tu.
Kama kawaida yangu. Mimi sikua kimbele mbele kuchagua msichana wa kufanya nae mapenzi, nilitulia huku nikipiga hesabu zangu kichwani si kwa ajili ya msichana mzuri. Ila ni nani atakua mdhaifu kidogo ili nishinde hiyo adhabu.
Baada ya kuhakikisha wenzangu wote wamechagua. Mimi nilipita huku nikiwasoma machoni na kujaribu kuangalia yupi atakua na staha japo kidogo.
Macho yangu yalitua kwa binti mmoja aliyekua na umbo dogo kuliko wote. Pia ni yeye pekee ambaye nilipotupa macho yangu kwake, aliinama chini kwa aibu. Wengine wote walikua wanaachia tabasamu huku wengine walikua wakijilamba kama ishara ya kunitamani.
Baada ya kumchagua huyo mrembo. Hatua iliyofuta ni wale wasichana wengine kutoka mule ndani tukabaki sisi na wasichana zetu tuliowachagua katika kutumikia adhabu huku jaji akiwa malikia na walinzi wake wanne waliokuwa wamesimama madhubuti na utayari wa kufanya chochote cha watakachoagizwa na malikia wao huyo.
“sasa nadhani kila mmoja wenu yupo tayari kufanya zoezi nililolitoa. Sichagui ni nani anatumia nini wala mbinu gani. Ila ukiweza kumfanya msichana uliyemchagua kukiri kama kweli umemuweza, basi utaepukana na adhabu ya kifo. Na ikitokea umeshindwa, basi tunakupeleka kwa watawala wa juu ambao kazi yao ni kuwapika watu walioshindwa kufaulu mtihani huu.” Aliongea malikia na kutufanya wote sisi tuanze kuhema hovyo hovyo kwa uwoga.
Malikia alimuamuru mmoja wa wale walizi wake akagonge kengele kama ishara ya kuanza mtanange huo wa kukata na shoka. Kengele kubwa ililia na wote tukaanza kutumia ujuzi wetu katika kuwalainisha warembo hao.
Kabla hata hatujawasogelea, tuliona vibwaya vikiachiwa na wakabaki kama walivyozaliwa. Walikua na maumbo mazuri hasa kiunoni ambapo walipamba na cheni za dhahabu.
Mrembo wangu alikua wa mwisho kuchojoa kwakua alikua ananionea aibu kidogo. Nilimsogelea na kuanza kumtomasa. Niliposogeza tu kichwa changu kwenye masikio yake. Alining`oneza kitu.
“usijali, nimetokea kukupenda kiukweli na si kwa ajili ya huu mchezo wa kifo. Nitakushindisha na utashinda bila kutumia nguvu.”
Aliongea maneno hayo yule dada kwa sauti ya chini sana niliyoisikia mimi peke yangu. Hapo kidiogo moyo wangu ulifarijika na kujikuta nina amani kidogo.
Basi nikaanza kumtomasa taratibu huku nikiviachia vidole vyangu kumtambaa kila kona ya mwili wake. Ila kila nikimsogelea alizidi kunipa chabo maeneo ambayo alikua anajisikia ashki anaposhikwa.
Nami nilikuwa muelewa na kufanya kama alivyokua ananielekeza. Pia alinisihii kutumia masaa zaidi ya matatu katika kuamuandaa bila kujali kama atakua ananihitaji kabla ya muda huo.
Hazikupita hata dakika ishirini katika maandalizi, tayari wenzangu walishaanza kula tunda kwa wasichana hao waliokua na uzuri wa ajabu. Kimoyo moyo niliwasikitikia kwakua nilijua kama hawatachukua muda mrefu kwakua tayari walishachoshwa na wale warembo wengine wa bwawani.
Viuno feni, sauti za vinanda na ulaini wa miili yao ndio vitu viliwafanya wenzangu kusikia raha ya ajabu na kujikuta wanapiga kelele za utamu na wao.
Mimi mdogomdogo niliendelea kumchezea mrembo wangu huku nikifuata maelekezo mbali mbali niliyokuwa napewa na mrembo huyo.
Masaa mawili baadae, wenzangu wote walikua hoi. Ila cha kushangaza, ndio kwanza wale wasichana walikua kama ndio wanawahitaji kuikweli na mizuka ndio ilikua inaanza kuwapanda.
Baada ya wenzangu kushidwa, walichukuliwa na kutolewa nje ya kile chumba na kuachwa mimi tu ambaye hata shuguli yenyewe nilikua bado sijaianza ingawaje yule dada alipandisha mizuka na kutoa mpaka machozi.
Baada ya lisaa limoja baadae, ndipo nikaruhusu mtanange uanze huku nikiruhusu refa wa pambano hilo kuchezesha vyovyote anavyoweza.
Nilitumia masaa miwili bila kumaliza mzunguko hata ammoja. Kila ukitaka kuja nilikua napotezea kwakua niliambiwa kuwa ule muda nitakaopumzika tu kwa ajili ya kusubiri ngoma inyanyuke tena, basi wao huanza na moja na kuwa kama hawajaguswa.
Nami nilijitahidi sana na nilipoanza kuchoka, yule dada aliniona na kunikonyeza.
Hazikupita hata dakika mbili nilisikia ukulele wa ajabu uliofanya mpaka kile chumba kitikisike kidogo. Hapo ndipo nilipoona vitu vya moto vikinichuruzika. Ni nilipokagua niligundua vilikua vinamtoka yule msichana.
“woooooooooh….. wewe ndio mshindi wangu.” Aliongea malikia baada ya kushuhudia tukio hilo.
Nilichukuliwa hapo nikiwa hoi na kupelekwa kwenye bwawa dogo lilikua na maji safi na kuogeshwa na wale walinzi. Baada ya hapo. Nililetewa nguo zilizodizainiwa kwa Hariri na vipande vya almasi. Baada ya hapo. Niliona wale walinzi wakiniinamia na kuinuka kama walivyokua wanamfanyia malikia wao.
Baada ya kukaa kwa muda kiasi,nilichukuliwa na kupelekwa kwenye chumba kilichopambwa vizuri na kulazwa kwenye kitanda kilichokua kinabonyea kupita kiasi.
Kutokana na uchovu niliokua nao. Nilipitiwa na usingizi mzito sana. Sikumbuki nilitumia muda gani kulala. Ila niliamka na kukuta nimelala na msichana pembeni aliyevalia nguo ya ndani peke yake iliyodizainiwa vizuri huku sehemu zote zilizobakia zikiwa wazi. Nilipotazama kwenye meza, niliona lile taji la malikia. Ndipo nikagundua kuwa nilikua nimelala na malikia wa hicho kisiwa.
Kwakua nilikua na njaa, nilipo uona tu msosi nilianza kuufakamia huku nikibagua nyama kwakua sikua naziamini hata kidogo.
Baada ya kushiba, nilichungulia nje ya dirisha, ndipo nikagundua kua kulikua na giza kubwa lililoashiria kuwa usiku ulikua bado mnene.
Nilirudi kitandani na kulala tena. Hapo nilimka asubuhi baada ya malikia kuniamsha na kuletewa meza iliyokua na mazagazaga pamoja na chai pale pale nilipokua.
“mbona huli nyama,.. hupendi?” aliniuliza malikia baada ya kuniona sigusi kabisa vibakuli vya nyama.
“huwa napendelea nyama za ndege pekee.. na sio hizi nyama nyekundu.” Niliongea huku nikimtazama malikia huyo ambaye alikua anaongea kwa utiifu sana na mimi.
“kuanzia leo nitakua nawaagiza walete kuku na bata mzinga.” Aliongea yule malikia na kunitazama usoni huku akitabasamu.
“nawapenda sana kuku kuliko bata mzinga… ila bata wa kawaida huwa nawapenda pia.”niliongea huku na mimi nikijitahidi kutabasamu ili asione tofauti yoyote ile niliyokua nayo.
“sawa,… unaonaje leo kama nikikutembeza upate kutalii maeneo yetu?” aliuliza malikia huku akijisogeza kwangu na kunikalia mapajani pale kwenye kitanda nilipokaa. Joto lake la ajabu ukijumlisha na kivazi cha uchokozi, vilinipa msisimko kidogo na nikajitahidi kujikaza kiume.
“sawa, ila kuna kitu kwa kweli kinanikosesha imani.” Nilianza kuchombeza ili nione atapokeaje uhalisia wa matatizo yaliyokua yananikabili.
“kitu gani tena hicho?” alionyesha kujali kwa kushtuka na kuniangalia usoni huku akiwa hatabasamu tena.
“nina hofu na uhai wa rafiki zangu niliokuja nao huku… hata kama wamefeli, naomba uwasamehe.” Niliogea kwa unyonge ili mradi niangalie kama viumbe hao walikua na huruma kama sisi.
“sahau kuhusu rafiki zako, maana walipo huwezi kuwatoa.” Aliongea malikia huku akiwa ameonyesha kukasirika kidogo baada ya kumgusia swala hilo.
“mh,, wewe ndio mwenye maamuzi ya mwisho. Ila nitafurahi sana kama nikisikia rafiki zangu wote wapo hai.” Niliongea na kujaribu kuipoteza ile hali ya huzuni niliyokuwa nayo juu ya rafiki zangu.
“jiandae basi ili nikupeleke ujionee vivutio vyetu kabla ya kutawazwa kuwa mfalme kwenye kisiwa chetu cha MALAIKA.” Aliongea malikia na kumyanyuka pale aliponikalia na kuniachia uhuru wa kutoka pale.
Sikupata tatizo lolote pale aliponikalia. Maana alikua mwepesi kiasi cha kudhani nilikua nimempakata mtoto mchanga.
Nilijiandaa na baada ya hapo nilitoka huku nikiwa nimeshikwa mkono na malikia na kutoka nje. Nilikuta wasichana kibao waliovalia sare mbali mbali huku wakionekana wakitabasamu baada ya kutuona na kuinama kama ishara ya salamu ya heshima kwetu.
Tulitembelea hifadhi ya wanyama. Hata hivyo sikuona wanyama madume. Niliona majike tu kila uzio wa mnyama nilionyeshwa.
Baada ya hapo nikapelekwa jela ambapo nilibaki nimeduwaa baada ya kuona jela kubwa kama hiyo iliyokuwa na watu zaidi ya milioni mbili kwa hesabu za haraka haraka wakitokea mataifa mbali mbali waliokamatwa kwa makosa kadhaa ikiwemo kushindwa kumudu kuwafikisha kileleni wasichana hao teule kwa ajili ya kufanya mapenzi na wanaume wanaokamatwa.
Gereza la mwisho kabisa, nilikutana na marafiki zangu. Nilijisikia vibaya lakini siku na jinsi. Niliwapa salamu kwa kuwaonyeshea mkono tu na nikatolewa nje bila ya kuongea nao chochote.