Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 589
- 763
inaendela.... Huku mvua ikinyesha CHIPUMBU akamvuta mpenziwe KADALA MAKAMASI nakumkumbatia,mabusu motomoto a.k.a denda! huku akimwambia 'no mata wati NTAKUFA NAWE' Aaah kubusiana kwene mvua ni romantic moment ever eeeh??? basi huku maji yakiwatiririka tartiibu nae bint MAKAMASI akizidi kumbana mbavu CHIPUMBU tena kwa sauti ya puani anamjibu 'nami ntakufa nawe hata kama #black hapendi'.... mara WAAAAH..PUH PU,RU RUU RUUUU KUPUUUUUUUH .... kutahamaki CHIPUMBU mbio mashariki,KADALA kwa spidi ya jeti alishafika magharibi...lol chezea kifo wewe! chezea mlio wa #RADI mzee! hahahahahahahaaaaaaaaaa
#NTAKUFA_NAWE
#NTAKUFA_NAWE