Hacking katika internet

Kaka hapa utasababisha ajali mbaya sana. Niliwahi kusoma kidogo kuhusu haya mambo wakasema kuna good hackers and bad hackers mimi ngoja niwe good hacker nisije nikaonekana noma kumbe nimekopi na kupaste.
ha ha ha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi sijuwi kitu ila ninajifunza humu kwenye Ma Website napoteza muda wangu mwingi kuangalia website na Ma Forums na Ma Blog hata shule sikuenda I just try to be myself, whatever that.

Hackers wengi hawakusoma sana kaka, inakua ni " natural talent". Good job bro


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…