ah,
symbian wakat zinaingia, zilikuwa na uwezo wa ku install apps za aina nyingi, sana, tatizo lilikuepo ni zili kuwa affected na virus, wa2miaj wa nnje (ulaya) walilalamika xana juu ya symbian.
ndipo jamaa wakaamua kuzi protect kwa kutoa baadhi ya server, ndipo utakuta ukiinstall baadh ya apps zina goma ''certificate error''
sasa uki fanyia hack mana yake una istall server (installserver)
ambayo haikwepo, na sasa waweza install apps nying sana!