habari za jioni wakuu kuna katibu chama cha viziwi tanzania anajulikana kama Raheem Mpogo nimepata taarifa amefariki maana humu jukwaani nikikuwa najua ndio member mwenzetu bitozi maana aliwahi kukiri yy ni kiziwi naomba ajitokeze kama yupo hai hyu member ni jambo la kher anisamehe kumfananisha maana lengo langu kujua tu