Habiba Umeniponza...

Jf ya zamani ilikuwa na mada zenye mashiko na wachangiaji wachache wenye michango ya kueleweka.Sio leo vijiwanafunzi vya form two vimejazana humu.
 
Hongera kwa kujifunza mentor....Sasa vipi- ushamrudisha D au umeamua kupata mbadala?
 

Kaka mkubwa wewe siku hizi nakuamini saana. Si unaona hata siku-Cc kule.

Huyu Asprin ndiye sitakuja kumwamini hata awe anazunguka na bible mkono wa kushoto.
 
Wahengaa..

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app

Hahah mkuu The Don, not to that extent!


Kumbe huku kuna mambo mazuri ngoja nisome

Sent using Jamii Forums mobile app

Khantwe, hayo ni mazuri!??


Duh Those days... but now when I re-read this story, it still intrigues me in the same way. Mentor ulifanikisha kumpata Diana mwingine kweli?

That thing for Habiba should endsi unaona matatizo alikusababishia lol

Habiba aliniahidi kunifundisha kuogelea akanitosa...i still have a thing for Habiba!


Zinaa ni uchafu

Sent using Jamii Forums mobile app

I can't agree more mkuu!


Diana alikutosa kwa sababu ya kisonono? Huyo hakuwa wife material.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mh! Mkuu pamoja na kwamba niliachwa nadhani hata mimi ningefanya hivyohivyo. Sidhani kama Diana alifanya kosa kuniacha. Ameolewa na Juzi March 30 alijifungua a bouncing baby girl! [HASHTAG]#life[/HASHTAG]


Hongera kwa kujifunza mentor....Sasa vipi- ushamrudisha D au umeamua kupata mbadala?

Bado nipo nipo mkuu (japo si kwa kupenda...)


Kaka mkubwa wewe siku hizi nakuamini saana. Si unaona hata siku-Cc kule.

Huyu Asprin ndiye sitakuja kumwamini hata awe anazunguka na bible mkono wa kushoto.

Nashukuru for the vote of confidence brother.

Asprin alibadilikaga kipindi alipomuoa cacico, sema baadaye kajukuu kamoja kanaitwa mwallu kalikuja kumharibu tena! Anyway, naamini siku moja atarudi kutulia akimpata 'cacico' mwingine!

1. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu

2. Ikimbieni Zinaa

C.c espy

Romans 7:15 I do not understand what I do. For what I want to do I do not do, but what I hate I do.


Habiba kamponza mentor

Habiba "ALIvyomponza" Mentor

Cc: espy
 
Sasa kumbe yana ubaya gani. Kama Diana kasusa tupe sie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
aliekuponza ni habiba au tamaa zako??

Sent using Jamii Forums mobile app


Habiba mkuu!

Wala sikuwa nimemtamanigi sana...halafu asingekuwa na maradhi ungekuta sasa hivi nilishaoa na mtoto juu.

Dah unanitonesha vidonda tu mkuu..

Kinachoniuma zaidi ni kwamba shemeji yako ajaye sidhani kama atapata harusi kubwa kama ambavyo angestahili maana sijui kama watu watachanga tena aisee..sijuiii! Na hali hii ya Magufuli????

Dah..kosa moja linaweza kukuharibia/kuifanya future yako iwe ngumu sana. Hapa ndipo ninapowaelewa single mothers aisee.

Dah umetonesha kovu leo sijui kwa nini mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…