Habib Mchange aingia kwenye Mfumo

Kuna anaeizidi Chadema kwa kumtukana Hayati Lowassa nchi hii...!??

Au tuweke clip ya kiongozi mkubwa wa CDM akimuita Lowassa mwizi, fisadi na anastahili kuchomwa moto
 
Kuna anaeizidi Chadema kwa kumtukana Hayati Lowassa nchi hii...!??

Au tuweke clip ya kiongozi mkubwa wa CDM akimuita Lowassa mwizi, fisadi na anastahili kuchomwa moto
Unafahamu maana ya Matusi ya nguoni?
 
Unafahamu maana ya Matusi ya nguoni?
Wewe hujawahi kuwa na akili kumzihaki waziri mkuu kumwita fisadi papa unaon sio tusi unataka tusi la nguoni kwa taarifa yako hilo zaidi ya tusi la nguoni kumbe uko zuzu kupitiliza kiasi hiicho sijui wapi unapata huu ujasiri wa kuandika uharo.
 
Kwani ilikua uongo? Si picha na video tuliziona kwa mange EL akielekea msalani vijijini kule
Fisadi ni neno la jumla sana. Nakubaliana record ya kumtukana Lowasa anayo Nape. Aliposema Lowasa anajiharishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…