Habebeki.... Ronaldinho na Kaka waachwa Timu ya Taifa ya Brazil

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Brazil leave out Ronaldinho and Kaka

May 14, 2013

By ESPN staff

Ronaldinho and Kaka have not been named in Brazil's squad for their Confederations Cup campaign.

On Tuesday, Brazil head coach Luiz Felipe Scolari announced his 23-man selection for the tournament, which begins on June 15.

Experienced duo Ronaldinho and Kaka were among the surprise omissions, as well as Manchester United's Rafael and Chelsea's Ramires.

http://espnfc.com/conversation?id=1447333&cc=3888

320375header.jpg

Wachezaji mahiri wa Brazil:Ronaldihno na Kaka wameachwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Brazil kinachojiandaa kwa Mashindano ya Mabara. Pamoja na kufanya vyema katika vikosi vyao vya Minerio pamoja na Real Madrid,Kocha wa Brazil Luiz Felipe Scolari amewaacha wachezaji hao.Kikosi kamili cha Brazil ni hiki:
Walinda mlango: Julio Cesar (QPR), Diego Cavalieri (Fluminense), Jefferson (Botafogo).

Walinzi: Thiago Silva (PSG), Rever (Atletico Mineiro), David Luiz (Chelsea), Dante (Bayern Munich), Daniel Alves (Barcelona), Jean (Fluminense), Marcelo (Real Madrid), Luis Filipe (Atletico Madrid).

Viungo :Fernando (Gremio), Hernanes (Lazio), Luiz Gustavo (Bayern Munich), Paulinho (Corinthians).

Washambuliaji: Jadson (Sao Paulo), Oscar (Chelsea), Lucas Moura (PSG), Hulk (Zenit), Bernard (Atletico Mineiro), Leandro Damiao (Internacional), Fred (Fluminense), Neymar (Santos).
 
Muda wote unapenda awe anacheza peke yake
uwanjani.
Kuna great players kama Pele, Maradona, Zizou,
Ronaldo, Christiano, Messi, n
many more., Lakini kwa upande wangu
unapoanza kuzungumzia the greatest in the history of soccer, huyu jamaa huwa namuweka
Pembeni, he is phenomenon, magnificent, he is
absolutely pure holy Ambassador of Heaven's
soccer on Earth.
Never get tired of watching him.. live Long Saint Gaucho
 
Hadi Ramires jaman?

Sijui kwa nini Brazil hawamuamini huyu dogo wakati mafanikio ya Chelsea yanategemea sana mchango wake, hili ndio chama langu kwenye world level lakini wananiboa kuendekeza vitoto vinavyodeka kama Naymar na kuacha wakongwe wapiga kazi.
 
Luis Gustavo ni super sub Bayern Munich kaitwa,Ramirez 1st eleven Chelsea na tegemeo kaachwa si mchezo.
 
Kuna viungo wachache sana duniani wenye energy na mapafu kama ya Ramires.
Big Phil ajiangalie sana, team yake mbovu halafu anamuacha mtu kama Ramires
 
Luis Gustavo ni super sub Bayern Munich kaitwa,Ramirez 1st eleven Chelsea na tegemeo kaachwa si mchezo.

Kuna yule Fernandinho wa Shakhtar Donetsk, yuko vizuri sana, kwangu mimi jamaa amekamilika zaidi ya hao jamaa tena kamuacha Gustavo mbali sana.
Jamaa ni box to box midfield, anakaba, anapiga pass, ana foofball skills na akili uwanjani, alichowafanya Chelsea kwenye UCL nadhani Obwato atakua shahidi, alimpoteza Ramires completely.

Gustavo ni mkabaji mzuri au tuseme mtibuaji, ila sio mpiga pass mzuri na hana options going forward. Ni mchezaji wa kuingia uwanjani team ikiwa inataka kulinda point(s) ilizopata, lakini sio kiungo wa kuchezesha team!
 
Marcelo nae kaitwa ila Real Madrid bench,ila nakupa pole sana kwa yaliyokusibu jana kwako kwa hasimu wako mkubwa jirani yako ktk final ya kombe la mfalme Juan Carlos 1,ni ushindi wao wa kwanza kwa karne hii hapo santiago bernebeu estadio jana toka mwaka 1999.
 
Ahsante Mzee
 
Back
Top Bottom