A Ambase JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 562 Reaction score 480 Jul 1, 2019 #1 Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa na jeshi LA polisi?
Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa na jeshi LA polisi?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,834 Reaction score 136,710 Jul 1, 2019 #2 Hutakiwi kushanga mambo haya chini ya utawala wa kijani Hii mbona cha mtoto umesahau ile ya m.nduli Ova
Hutakiwi kushanga mambo haya chini ya utawala wa kijani Hii mbona cha mtoto umesahau ile ya m.nduli Ova