hahaa umenichekesha,ni kweli hilo kundi lao ni kama freemasons likemee kwa nguvu zako zote maana ukishaingia huko dadangu kutoa si rahisi na utaishia kujuta.
chonde chonde rafiki namwona shetani anainyemelea ndoa yako,ndoa yako itavunjika lkn mdhambi wako to be inaweza nusurika as sisi wanawake tunasamehe mkewe anaweza kumsamehe akigundua lkn je mumeo akigundua unacheat atakusamehe?i gues no,hivyo atakayepoteza ndoa ni wewe!
be careful mpendwa.