sandu John
Senior Member
- Jun 24, 2016
- 180
- 104
Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
Usikae kimya mkuu, uliza kwa nini?
OkUsikae kimya mkuu, uliza kwa nini?
We jidanganye tu.Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
Usalama wa Taifa au Mambosasa??????Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
Umelala akati unaperuzi.....Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
mmemlipa mlinzi leo lile deni la miaka yote ndo maana leo ulinzi umeimarika ama inakuaje?Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
Leo mweshimiwa yuko karibu na sisi, mtaa fulani hivi, unaitwa nyahanga. Hakuna kukatiza nzi yeyote. Tunamshukuru Mungu kwa Neema leo. Kwa taarifa tu, mtaa wetu una panya rood nyingi mno.mmemlipa mlinzi leo lile deni la miaka yote ndo maana leo ulinzi umeimarika ama inakuaje?
Mguuuu pandee,,,tanuaaaa miguu,,,,achiaaaa papuchiiii,,,,kataaaaa kiunoooo,,,,ukikataaa utaliwaaaa backwardNapenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.