Habari za Asubuhi

habari za Africa mashariki uncle!
 
nimeshindwa kuona hiyo habari za asubuhi ....
hiyo attachement ina picha ya B/fast au?😉
 
serengeti hajambo!sasa tumeanza kapito M na small M,but inabidi nimlete ukae nae maana si unaona mambo ya ma hous galz?naogopa!
Huku safi sana, hajambo Therengetitherengeti?
 
Hahaha hahaa haaa mtoto wako umpe Bujibuji?
Lakini waswahili wanasema mchawi mpe mwanao akulelee mtoto, atakuwa salama.
 
Eeeh kwani uncle mchawi?mbona alikaa nae for 2weeks?
hahaha hahaa haaa mtoto wako umpe bujibuji?
Lakini waswahili wanasema mchawi mpe mwanao akulelee mtoto, atakuwa salama.
 
Hapan swty sijakudanganya bwana si unakumbuka uncle buji alikuwa anawapitia lulu na devi xul kabla i hatujapata kabajaji ketu?
mh dont tell me mwanangu alikaa kwa buji 2weeks so ulinidanganya eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…